Uamuzi huu umecheleweshwa sana. Nania anapenda mtoto wake asomeshwe na mwalimu asiye mweledi? Mimi ningeshauriwanachuo wa kufunzwa Ualimu wachaguliwe kutokana na wale waliopasi daraja la kwanza na la pili tu! Kwanza kuna shida ya ajira, wachukuliwe wale wenye uwezo wa kujiendeleza. Wewe msomaji...
Nilikuwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili kati ya 1981-82 [Kaimu] na 1982-85 Madaraka Kamili kwa kuteuliwa na Mkuu wa Chuo, Wakati Huo Rais Julius K Nyerere. Mojawapo ya kazi yangu ilikuwa kuandaa mambo kama haya. Nimefurahia kuwa matayarisho sasa yanaanza kuzaa matunda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.