Recent content by Cantona Jr

  1. Cantona Jr

    Kwanini wanaume wasasa wamekalia malalamiko na kusahau nafasi na majukumu yao kama vichwa vya familia?

    Na bahati mbaya sana siku hizi kila mwanamke ana priorities zake, huyu anataka ukoloni, mwingine anataka usasa etc ilimrad tafran tu. Inabid utuambie wewe ni aina gani ya mwanamke
  2. Cantona Jr

    Kwanini wanaume wasasa wamekalia malalamiko na kusahau nafasi na majukumu yao kama vichwa vya familia?

    "Siku utakayo muelewa mwanamke anataka nini, inaweza ikawa ndo siku yako ya mwisho"
  3. Cantona Jr

    Nifanyaje kupata mshindo wa nguvu kama ule wa siku ya kwanza?

    [emoji23][emoji23][emoji23] sema humu ndan raha sana
  4. Cantona Jr

    Kwanini mnawahukumu mno single mothers?

    Hoja ya single mothers ni pana sana huwez imaliza kwa point hizo mbili tu. Nadhan kuna mambo mengi sana nyuma ya pazia ikiwemo weaknesses za wanawake.
  5. Cantona Jr

    Ushawahi kumlipia mchepuko wako kodi ya nyumba?

    Ushawekwa kwenye kichupa mkuu, hapo hutoki utamuwaza mda wote na kodi utalipa. Zingatia familia ako usije ukaitelekeza ukahamia kwa mchepuko.
  6. Cantona Jr

    Wanawake akili zao wanazijua wenyewe

    Hahahah umenena vyema sana
  7. Cantona Jr

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Unamuachia Nan??
Back
Top Bottom