Recent content by Canniber

  1. C

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jaman naombeni treni la odds 1000+ as long as wewe umeshalitia ata kwa mia au jero kumaanisha unaimani nalo japo kwambali naombeni wakuu nna mwezi sijabet leo angalau nataka niwekeze kwenye train la SportyBet Nawasilisha wakuu🙏🙏
  2. C

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kaka nimeona apo umelalamika nkachukulia poa ila ulivyo sema tu SportyBet ukanistua, how come SportyBet walete miyayusho? hitilafu zipo ila pia wana maua yao hawana janja janja kama za majkampuni ya vichochoroni Nmeangalia apo mkeka wako hawajakudhulumu ni kweli umechanika, hyo option (any team...
  3. C

    Kijana: Maisha ya mtaani hayatambui cheti

    Tupokeane tu jaman mbna kama notion ya vita automatically kwenye vichwa vyenu Anyway watanzania ni wamoja naimani hatuko hivo💪🙌 Mawazo yangu inadepend na vitu viwili 1. Uchumi wa nyumban, kuna mtu anasubiriwa tu agraduate lifanyike jambo 2. Aina ya course, nashuka mtaa na degree ya Afya🚑...
  4. C

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    OYA MNAUHAKIKA MECHI ZINACHEZWA KIHALALI HAZINUNULIWI NA MAKAMPUNI YA KUBETI?? MBONA BETTING IMEBADILIKA SANA SIKU HIZI?? KUNA WATU BADO WANABETIA MATRENI?? JE YANATIKI KAMA ZAMANI??
  5. C

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Daah saiv sjui nna mkosi kila nikidandia matreni ya watu ya odds kuanzia buku+ yana chana kuanzia timu 7 na kuendelea dadeq😤😤 Kama kuna mtu ambaye matreni yake yanaznguaga ata timu nne kushuka chini awe ananipatia zikichana timu nne kushuka chini ntakua namgea ata ya vocha wazee lost zimekua mingi🥶
  6. C

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kaka upo vizur nikiangalia apa kwa jana tu ume stake laki 9 na nusu, Leo ume stake laki 6 na 45k heshima yako kaka🙌🙌
  7. C

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Oyaaa mwenye tren la kuanzia odds buku ambalo ashaliweka anipasiee nimchangie muhind ela ya kusomesha wanae
  8. C

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hapana kaka amejaribu tu kutolea mfano maana pia umu ndani kuna madalali hajamaanisha moja kwa moja
  9. C

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    msibishane sana jaman kama vipi kwa usalama wa wakamalia wote wa umu jf mikeka ipostiwe bila izo promo code 🙂🙂 mfano kama una mkeka we andika tu jina la kampun, code na idad ya odds Mfano C453GT -200 odds SportyBet
  10. C

    Ulikuta kitu gani kwa Watu ukajua "hapa pesa ipo"?

    Mmeongea habar za paka kutumia laki hadi nmecheka Nakumbuka miaka kadhaa nyuma Bro alikuja home, hakuwa home kwa muda so akarudi na rafk ake sasa skuio wakapikiwa wali na samaki wakatengewa wali na samaki mkubwa uyoo sa ngap muda wa kunawa pale yule paka akarukia yule samaki akashuka nae mpka...
  11. C

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kaka odds 7 unaweka 100 unatafuta hela ya kujiunga sms au? Hahah natania mkuu😃👋
  12. C

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Daah mpaka najilaumu kwanin nlikosa stake za kuliweka hili tren mchongoko la mwamba apa lilikua na odds elf 82🔥 linakimbiza balaa mpaka sasa kachana city tu, afu unakuta kuna kidaladala cha mwenge mawasiliano kina abiria 50 tu ila masaa mawili tu kishachana timu 7 hii weekend itengwe😅😂
Back
Top Bottom