Nilipata malipo halali kutoka organizational fulani hapa mjini. Bila kutambua pesa moja noti ya dola 100 ilikuwa imechanika kidogo na wakati wa kubadilisha ilikataliwa kwa madai kwamba imechakaa na ya toleo la 2006.
Je, hii ni kweli? Kwa sababu benki ya NMB,NBC, na maduka ya kubalisha fedha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.