Recent content by Camelot

  1. C

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amuapisha Naibu wa pili wa Wizara ya Madini, Doto Mashaka Biteko! Asema Wizara hiyo bado haijamu-impress

    Kwani lazima awe na elimu ya madini?hapo kinachotakiwa ni kusimamia kama ambavyo aliweza kusimamia kamati ya tanzanite
  2. C

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Umma watakiwa kuorodhesha mali zao kabla ya 31 Dec 2017

    Wale wajuzi watusaisidie maana jana mara baada ya Mh Raisi kurejesha fomu zake tuliona akiagiza viongoze wote waliotajwa na sheria wapeleke fomu so napenda kufahamu ni viongozi gani hao?
  3. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kitusi

    Kichwa cha habari kinajieleeza mimi ni kijana wa miaka 32 naishi dsm natafuta msichana wa kitusi aliepo dsm umri kuanzia miaka 20 mpaka 35 aliye tayari aje pm
Back
Top Bottom