Recent content by Calvinpaul

  1. C

    Ndege ya precious Air yashindwa kutua Dodoma

    Wana Jf wengi wao naona sijui ni ubishi wa asili au elimu sijui, maana wengi wanauliza kwamba ndege imeshindwa vipi kutua Dodoma ikarudi dar na injini moja wakati ni mbali? Jibu rahisi ni hivi. Kwa hapa Tanzania kwa tatizo la ndege kama hilo la kuzima injini moja sehemu za kutua ni mbili tu...
  2. C

    Kwa yeyote anayehusika na na D light

    Vielelezo vote anavyo mpaka box
  3. C

    Kwa yeyote anayehusika na na D light

    Habari wana JF Aise nina ndugu yangu alinunua simu kwa mtu hizi za Nokia ni Nokia C21 plus kumbe ile simu ilikuwa ya mkopo sasa amejaribu kwenda kwenye ofisi za simu husika yaani D light ili waweze kumpa namba ya kulipia ile simu wamegoma eti mpaka muhusika aje aliyeuza na aliyeuza hapatikani...
  4. C

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Nauza Samsung galaxy A53 5G mpya kabsa fullbox mimi nilinunua 780k dar ila nimepata dharura hapa ya ghafla naomba mwenye 650k nimuachie simu hii ina GB 128 Ram 8 niko mwanza nyegezi
  5. C

    Nauza Samsung galaxy A53 niko MWANZA

    Nauza Samsung galaxy A53 5G mpya kabsa fullbox mimi nilinunua 780k dar ila nimepata dharura hapa ya ghafla naomba mwenye 650k nimuachie simu hii ina GB 128 Ram 8 niko mwanza nyegezi
Back
Top Bottom