Recent content by CalvinKevoo

  1. CalvinKevoo

    JamiiForums Tanzania Watumiaji wa YAS naomba msaada

    Nimehamia airtel baada ya mazing zong mengi sana kutoka katika mtandao wa Yas.
  2. CalvinKevoo

    JamiiForums Tanzania Full time: Morocco 2-0 Tanzania | FIFA World Cup Qualification | Stade Municipal d’ Oujda | 26.03.2025

    Nimetia laki kwa point ya star tusije tafutana baada ya mechi kuisha
  3. CalvinKevoo

    JamiiForums Tanzania Na usomi wangu huu nibebe zege kweli? Hapana, nashusha brand

    Hakuna kazi ya kishamba wewe ndo mshamba na usomi wako
  4. CalvinKevoo

    JamiiForums Tanzania Kwenda kuli shika hili Kaaba kuna tofauti na kuabudu sanamu?

    Mara kumi ata awa wa msalaba lakini sio nyie Romani katoric Kusujudu mbele ya masanamu inasikititsha sana ata kujiongeza amtaki mumeng’ang’ania apo apo tu sijui mumenyweshwa kitu gani kusoma hamjui ata picha nayo !!!🙏 napita tu
  5. CalvinKevoo

    JamiiForums Tanzania Ashukuriwe alieanzisha nyuzi za meditation hapa JF

    Unapiga P$
  6. CalvinKevoo

    JamiiForums Tanzania Nataka kwenda kuishi Zanzibar sema sijui pa kuanzia

    Au wewe umeolewa mana sikuelewi elewi 🥸
  7. CalvinKevoo

    JamiiForums Tanzania Nataka kwenda kuishi Zanzibar sema sijui pa kuanzia

    Labda wewe ndo mgeni
  8. CalvinKevoo

    JamiiForums Tanzania Nataka kwenda kuishi Zanzibar sema sijui pa kuanzia

    Du asee sio mchezo unamanisha sasa tusiende si ndio
  9. CalvinKevoo

    JamiiForums Tanzania Wasomi ni watu walio sitarabika

    Nimekupata mkuu 🙏
  10. CalvinKevoo

    JamiiForums Tanzania Wasomi ni watu walio sitarabika

    Sawa Asante kwa kuona mapungufu yangu ewe uliyekamilika lakini naamini umenielewa nilicho maanisha
  11. CalvinKevoo

    JamiiForums Tanzania Nataka kwenda kuishi Zanzibar sema sijui pa kuanzia

    Ok ni Sawa #sweetcandy umenambia vizuri sana akini Mimi Kama naweza kuishi maisha ya haina yoyote Ile Kwangu Mimi udini si ishu kwani siamini katika yesu wala siamini katika mohammed naamini katika mungu pekee yeye ndo mwongozo wa maisha yangu na sio mwanadamu nitakwenda na Nitaishi Mimi sifati...
  12. CalvinKevoo

    JamiiForums Tanzania Wasomi ni watu walio sitarabika

    WASOMI ni watu walio sitarabika WASOMI awa andiki andiki upuuzi Mkono wa mjinga unaandika popote pale ndo walivo wasomi wa bongo mumekosa kazi basi kazi kuwa kucoment ujinga ujinga tu kwenye thead za watu wewe Kama unaona mtu kaandika ujinga wake soma Maliza pita kushoto muache aliye andika...
  13. CalvinKevoo

    JamiiForums Tanzania Nataka kwenda kuishi Zanzibar sema sijui pa kuanzia

    Bana weeeeee maisha popote utakapohisi unaweza kuishi na maisha yakaenda pasipo kumbugudhi mtu yoyote ruksa dunia yote yetu na ndo mana tumepewa na miguu tusigande seehemu moja uchumi tu wa mifukoni ndo inatufanya tusindwe kuruka ughaibuni akini isingekuwa izi sheria za mwanadamu kuziweka bongo...
  14. CalvinKevoo

    JamiiForums Tanzania Nataka kwenda kuishi Zanzibar sema sijui pa kuanzia

    Kaka naona ujielewi kabsa afu utakuta unajiita msomi pole yako sana mbona wewe ujabaki uko mashambani
Back
Top Bottom