Recent content by calvinelias

  1. C

    Lema amjibu Kikwete, asema yupo tayari kwa lolote kuanzia sasa

    Mbona hakulisema la osterbay mapema.. kipindi hichi ndo kaona umuimu wake...!
  2. C

    Muungano ukivunjika, Zanzibar kuwa 'Dubai ndogo'

    Na kweli msela hana statistics.. ukweli ni kwamba sisi watanganyika maana sipendi kujiita wa bara tunapenda sana muungano uvunjike.. kwa hiyo vijana wa zanzibar endeleeni hivyo hivyo yani big up... good job.... ila acheni kuchoma makanisa.
  3. C

    East African Federation (EAF) public Views

    Truly, not all states are equal when viewed on an economic or political paradigm. But the solutions lie in addressing the weakness collectively rather than individually or in wasting time on self-defeating excuses therefore we should look ahead to the vast opportunities that an East African...
  4. C

    East African Federation (EAF) public Views

    Napingana na waandishi wa magazeti wanaodai kwamba wataalam wenye shahada za kujadili mikataba yenye kuleta manufaa kwa taifa wapo. Ukweli ni kwamba hawapo kwa kusema kwamba rushwa ndiyo tatizo sio sahihi. Ukilizungumzia suhala la rushwa kuwa ndio mzizi wa matatizo napingana na wewe kama...
Back
Top Bottom