Recent content by Calonga

  1. C

    Wakuu nimepata Tashtwiti kuwauliza jambo hili kuhusu hawa Wachina. I smell something fishy in the future

    Global citizenship Miaka ijayo kutakuwa na global citizens. Yeyote ataweza kuishi popote, muda wowote, bila kuzuiwa na mipaka ya aina yoyote (boarderless world) Dunia ni moja na binadamu ni wamoja. Wenzetu wako fasta, wameshaanza kujiweka vizuri, sisi bado tumelala.
  2. C

    Nimeanza safari ya ufugaji Sungura mwaka jana (2024) mwezi wa kumi, namshukuru Mungu, nimeanza kuona maendeleo taratibu, hatua kwa hatua

    Jike aina ya flemish likaja kuonyesha aina zote kuwa lina mimba. Kama kawaida likaanza kuingiza majani kwenye kiboksi cha kuzalia, na likaonyesha kuongezeka uzito. Hiyo ilitokea baada ya kupandwa na dume kwa muda wa wiki mbili. Nikawa nasubiri kwa hamu sana nikiamini baada ya mwezi mmoja, na...
  3. C

    Nimeanza safari ya ufugaji Sungura mwaka jana (2024) mwezi wa kumi, namshukuru Mungu, nimeanza kuona maendeleo taratibu, hatua kwa hatua

    Baada ya kumaliza kujenga banda nikaanza kutafuta mbegu. Kwasababu ya ufinyu wa bajeti, nikaamua kuanza na sungura wachache. Nilianza na New zealand white wawili, mmoja dume.na mmoja jike, pamoja na flemish jike mmoja. Chakula wanachokula mpaka sasa ni majani, matembele, mchunga, kabech na...
  4. C

    Nimeanza safari ya ufugaji Sungura mwaka jana (2024) mwezi wa kumi, namshukuru Mungu, nimeanza kuona maendeleo taratibu, hatua kwa hatua

    Mods, naomba msaada nime update hii thread lakini naona bado iko vile vile, nifanyeje?
  5. C

    Nimeanza safari ya ufugaji Sungura mwaka jana (2024) mwezi wa kumi, namshukuru Mungu, nimeanza kuona maendeleo taratibu, hatua kwa hatua

    Poa mkuu, naongeza updates taratibu kutokana na wingi wa majukumu. ila tutafika tu.👍🏿
  6. C

    Anayefahamu kijijini wanakouzwa mashamba Kati ya laki 2 Hadi 5 anijuze popote Tanzania

    Hii ni kweli kabisa. Mimi ni mwenyeji wa Handeni, mwaka 2017 nilinunua kiwanja kwenye mradi wa viwanja pale Handeni mjini. Ardhi ipo nyingi kwaajili ya kuishi pamoja na mashamba, na bei ni nzuri.
  7. C

    Nimeanza safari ya ufugaji Sungura mwaka jana (2024) mwezi wa kumi, namshukuru Mungu, nimeanza kuona maendeleo taratibu, hatua kwa hatua

    Baada ya kukaa muda mrefu bila kujihusisha na ufugaji wa aina yoyote, kuacha mbwa mmoja ambae namfuga kwaajili ya ulinzi, mwaka jana, 2024 mwezi wa kumi mwanzoni, niliamua kuanza ufugaji wa Sungura kwaajili kupata mboga kwa matumizi ya nyumbani na pale patakapokuwa na Sungura wa ziada, basi...
  8. C

    Aliyeanzisha usafiri wa mwendokasi sidhani kama alikuwa na mpango wa kuwatesa watanzania kiasi hiki

    Watanzania wengi ukiwapa ajira, kitu cha kwanza wanachowaza ni jinsi gani ataiba apate utajiri aishi maisha ya kifahari, ili nae atupie picha kwenye mitandao ya kijamii atambie wenzake. We jiulize, waziri mzima tena wa wizara nyeti, anaenda kwenye sherehe yeye na familia yake, anapiga picha...
  9. C

    Ushauri kwa Walevi : Pombe mbaya jamaa jana nimetukanwa sana na Mlevi

    Ukiona mlevi anakutukana ujue alikua anataka kukutukana muda mrefu ila alikua anakosa jinsi ya kuanza kukutukana, kwaiyo, akaamua kwenda kunywa pombe ili atoe nishai akutukane vizuri.
Back
Top Bottom