Recent content by Calmax Martin

  1. C

    JamiiForums Tanzania Karibuni tujuzane kuhusu BMW 3 Series

    Nenda kwa azizi umeme
  2. C

    JamiiForums Tanzania Karibuni tujuzane kuhusu BMW 3 Series

    Mimi nashangaa watu kukataa Bmw kama series 3 m3 sport 320i mbona affordable tuu mfano unazingatia service huna mizunguko mingi, rough road unaenda mdogomdogo shida ikwapi
  3. C

    JamiiForums Tanzania Kama hila ya Wazungu kupitia chanjo ni kutumaliza, basi tusitie kiburi leo, tumechelewa, tangu utotoni tumechanjwa sana na chanjo zao

    Una mawazo mazuri ila tambua hofu ya baadhi ya nchi za kiafrika ni kwamba sisi ni nchi ambazo hatujaua wengi kama wao wenzetu na isitoshe kwann hawajaanza kwao ambapo wanaumwa wengi na ugonjwa huo upo kwa kasi! Watuonee huruma sisi kivip? Lazima wakati mwingne unatakiwa ufikirie mbali hili...
Back
Top Bottom