Kivuli cha neno UZALENDO kinaangazia zaidi watu masikini, huku kikiwapa watawala fursa ya kujineemesha.
Madaktari, Walimu na watumishi wengine wa umma na sekta binafsi mfano wakulima wakibebeshwa msalaba wa uzaledo.
Hakuna mtawala anayeshiriki ktk kuubeba msalaba UZALENDO. Fikra na AKILI zao...
Kiasili WANAUME sio watu wa KULIALIA.Wanavumilia manyanyaso mengi sana ndani ya ndoa.Na hapo ndio tatizo linapoanzia.Ombi langu kwa kina DADA,,kama umeona fursa nyingine kwingineko ondoka mapema na sio kuwa mtaka VYOTE.
Amani ya Mungu iwe nanyi.
Katika kipindi cha miaka mitano hadi sita iliyopita nimeshudia wajasiriamali wadogo( machinga)wakifanya biashara zao maeneo yasiyo rasmi. Baadhi yetu kama wateja limekuwa ni jambo la kufurahisha sana.Kama sio nje ya ofisi, kanisani, msikitini ama shuleni kwako basi...
Hongera kwa andiko zuri.Aya hii niliyoinukuu binafsi kama mdau wa elimu sioni kama ni kichekesho.Mtoto kabda hajatembea lazima aanze kutambaa.Tuna mengi ya kujifunza kwa waliotutangulia ili kuwa bora zaidi ikizingatiwa kuwa tofauti za kimazingira na huko duniani sio kubwa sana .Asante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.