Kaka swala la silaha ni la ndani, hujaona kesi mtoto anakutwa na silaha ya baba na anafanya nayo tukio, hayo ni mambo ya ndani sana, mke ni mtu wa karibu sana kuwa na silaha yako kulingana na tukio ana haki kisheria kutumia silaha yako kuokoa uhai wa mtu. Hii hata mahakamani anashinda kama...
Labda nijaribu kumsaidia mtoa mada sikuwepo eneo la tukio lakini nipo sana jirani na tukio lilipotokea na majirani walinipa dodoso ingawa sikufika,
1. Baba mwenye nyumba hakuwepo nyumbani alikuwa amesafiri siku ya tukio ni mama na kijana wa kazi walikuwepo nyumbani unajua wakina mama...
Hawa mbwa ni hatari kuliko maelezo ....hili tukio lilitokea karibu kabisa na nyumbani kwangu sikulala usiku huo nilianza kusikia milio ya risasi kuanzia saa 7 mpaka saa 9 usiku ya aina mbalimbali ya bunduki nikajua ni majibishano ya risasi ya polisi na majambazi kumbe ni majirani waliojitolea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.