Nakubaliana na wewe kwenye upatikanaji ukiacha migodi mikubwa kama ya Barrick, wachimbaji uchimbaji mdogo mdogo Tanzania hautoi dhahabu nyingi,so kilo mia kwa mwezi ni kazi, ila uliposema hakuna dhahabu ya Purity ya 22 ndio nilipingana na wewe, coz kwenye purity uliongelea ubora wakati sasa...
Kwa nini umesema hivyo mkuu?zipo mfano dhahabu kutoka mbulu na singida ina asilimia zaidi ya 96 ambayo ni karat 22,lakini pia inayopatikana kanda ya ziwa mikoa ya Shinyanga, Mwanza, Mara nyingi huwa ni asilimia 86 kwenda juu, lakini pia hiyo asilimia 86 unaweza kuiongeza ubora hadi kufikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.