Recent content by CadeauJay

  1. C

    Ndoto za usiku zinazo husiana na kuota nyoka ukiwa umelala

    Samahani mimi niliota nimekaa kwenye kochi sebleni...nkamuona nyoka mweusi mkubwa mnene karibu na mlango..yeye hakuniona na wala hakushtuka ila mimi nilivyomuona nikakimbia kwa woga...nikashtuka..hii nayo mana yake ni nini?
  2. C

    Ndoto za usiku zinazo husiana na kuota nyoka ukiwa umelala

    Samahani nipo nje ya mada...hivi ukikaa ukafuatilia vizuri tumepumbazwa sana fikra zetu na wageni...yani ujuzi wetu sisi wanauita ushirikina...halaf ujuzi wao wanauita sayansi....think about thaaaat broh
  3. C

    Msaada Kuhusu Hizi Air Cooler

    Nenda kwa Mr.kitchenware anauza fan ya kuchaji laki na 85...lkn pia kuna tower fan....kazi kwako hapo
Back
Top Bottom