Recent content by cacamura

  1. C

    JamiiForums Tanzania 2011 Subaru Forester SHJ - Subaru Mayai - ukitaka isikusumbue fanya hivi

    Mkuu unakosa raha kwanini, ww nunua za mwaka 2020 sisi wa lala hoi tutanunua hizo za 2011 kwani tatizo liko wapi sheikh. And still watu wanaagiza ist za 2004 hujiulizi🥱
  2. C

    JamiiForums Tanzania 2011 Subaru Forester SHJ - Subaru Mayai - ukitaka isikusumbue fanya hivi

    Kaka letaaa nasubir kwa hamu sana
  3. C

    JamiiForums Tanzania Subaru forester SJ5 / FB20 ni mgonjwa wa kansa anayetembea barabarani

    Bas mkuu, ww chapa uzi tu apa wa subaru
  4. C

    JamiiForums Tanzania Subaru forester SJ5 / FB20 ni mgonjwa wa kansa anayetembea barabarani

    Ah kumbe kumbe afroil wanatoa mafuta safi, bas ipo mana nilidhan ni total na puma pekee
  5. C

    JamiiForums Tanzania Subaru forester SJ5 / FB20 ni mgonjwa wa kansa anayetembea barabarani

    Nakukubari kaka, vp kwa upande wa mafuta nackia kwa sher zetu za huku mikoani zinapelekea sana kuua engene kwasabab inahitaj mafuta masafi ( high octane ) ni kweli? Na kama ni kwel ni njia gan ya kuilinda engene kwa huku mikoani ambapo total na puma hawapo
  6. C

    JamiiForums Tanzania Subaru forester SJ5 / FB20 ni mgonjwa wa kansa anayetembea barabarani

    Pia muda wa kubadiri tyming belt ni kuda gan and gharama zake kama una idea nayo
  7. C

    JamiiForums Tanzania Subaru forester SJ5 / FB20 ni mgonjwa wa kansa anayetembea barabarani

    Nausubiri kwa hamu sana huu uchambuzi mkuu, pia nilisikia unaweza fanya convention kutoka tearing ya umeme ukaweka hydrologic kwenye non turbo ni kweli? Pia nasikia ej20 non turbo zinaua sana head gasket. Ni nin sababu?!
  8. C

    JamiiForums Tanzania Subaru forester SJ5 / FB20 ni mgonjwa wa kansa anayetembea barabarani

    Naomba elimu juu ya hiyo xt ambao unayo na non turbo ej20. Na unashauli ipi itanifaa kutoka kwenye rumion 2010 2ZR-FAE, valve matic technology
  9. C

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa afya Babati tunahamishwa kwa kushtukizwa lakini hatupewi stahiki zetu za uhamisho

    😀😀😀😀...... Nashukuru sikuajiriwaga halimashauri
  10. C

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa afya Babati tunahamishwa kwa kushtukizwa lakini hatupewi stahiki zetu za uhamisho

    Mimi bila ela siwez hama kamwe, na hakuna wakuniamisha labda mh rais
  11. C

    JamiiForums Tanzania JE WAJUA NI MUDA GANI UNAPASWA KUBADILI OIL FILTER YA GARI YAKO?

    Hii imewatesa sana watu wa dual, nissan sio unafunga plugs yeyote tu ile , kuna muda unaweza ujahis ni gear box imekufa kumbe shida ni plugs sio za hyo engene
  12. C

    JamiiForums Tanzania JE WAJUA NI MUDA GANI UNAPASWA KUBADILI OIL FILTER YA GARI YAKO?

    Kubadiriaha plugs sio shida, shida ni plugs ni recommended kwa hyo engene?
  13. C

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Kufunga Mfumo wa Gas (CNG) Kwenye Subaru Forester.

    Mkuu lile jambo letu vp?
  14. C

    JamiiForums Tanzania Toyota crown

    Mafuta sio inshu kwangu
Back
Top Bottom