kwa maoni yangu Easy TV angalau wanaeleweka, unahakikishiwa movies channels kama nne from mbc1, mbc2, mbc3, mbc4 MBC max, MBC Action,
Documentary hawana,
Local channels wamejitahidi mpaka na recently wameongeza Clouds TV,
Nasikitika wameondoa Viasat ghana, ni nzuri sana kwa Series. KTN ya kenya...