Recent content by CA14 Mnyamili

  1. CA14 Mnyamili

    JamiiForums Tanzania Mbona Instagram inatumia bando kubwa sana?

    Achana nayo haina maana Ila kama inakufanya upate KULA UGALI SAWA TU endelea kuitumia
  2. CA14 Mnyamili

    JamiiForums Tanzania Je, watu wa Tanzania wanastahili 5G

    Magonjwa ya AKILI yata ongezeka sanaaaa
  3. CA14 Mnyamili

    JamiiForums Tanzania Je, watu wa Tanzania wanastahili 5G

    Borea ENZI za mababu zetu ila miaka hii na inayo kuja yan sijuiiiiii...........??!
  4. CA14 Mnyamili

    JamiiForums Tanzania Je, watu wa Tanzania wanastahili 5G

    Lakin JE hii 5G haina madhara katika afya zetu watanzania au MADHARA yake YAKOJE
  5. CA14 Mnyamili

    JamiiForums Tanzania Je, watu wa Tanzania wanastahili 5G

    Jamani Mimi sielewi kwanini tuna wekewa huduma ya 5G wakati hata hatujafikia asilimia 90 ya watanzania wanao miliki simu TANASHATI (smartphone). Pia wengi hatujui madhara ya RADIO FREQUENCY katika afya zetu. MUNAOJUA MASWALA ya RADIOLOGY jitokezeni mnipe ukweli juu ya swala hili
Back
Top Bottom