Recent content by bznessX

  1. B

    Tujadili kuhusu "VAT"

    Napenda nifufue hii mada kwa kuuliza swali jinsi gan Tanzania mainland na Zanzibar wanavyokusanya VAT. Ukiingiza mzigo kupitia bandari ya Dsm tunalipa VAT, mteja akija kutoka Zanzibar nikimuuzia mzigo nae akifika bandari ya Zanzibar anachajiwa tena VAT hii imekaaje, Tunafanyaje hapo ili...
  2. B

    Jinsi ya kuepuka kulipa VAT mara mbili

    Majibu yanakaribishwa,
  3. B

    Jinsi ya kuepuka kulipa VAT mara mbili

    Nime import bidhaa na nimechajiwa VAT bandarini ila wateja wangu wa Zanzibar wakitaka ingiza mzigo zanzibar wanachajiwa tena VAT, Nitumie document gani, ili wakionuesha wasichajiwe tena VAT??
Back
Top Bottom