Recent content by byembalilwa

  1. byembalilwa

    JamiiForums Tanzania TEC yashinda tuzo ya taasisi bora ya kidini inayosimamia misingi ya haki nchini

    TEC Dini +jukwaa la siasa,sawa
  2. byembalilwa

    JamiiForums Tanzania Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

    Kuna kitu hakipo sawa
  3. byembalilwa

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makosa ya kiuongozi aliyoyafanya Rais Samia na kujikuta anapoteza uungwaji mkono wa wananchi kwa wingi na kasi ya kutisha

    Samia anaungwa mkono na Watanzania wote kwasabu 1. Amepandisha madaraja na kuongeza mishahara Watumishi ambao walikaa miaka 7 bila daraja Wala nyongeza 2. Aliondoa VRF ya HESLB 3. AMEONGEZA AJIRA, Samia anaajir tuwe wakweli 4. Ameweka mifumo ya kiutumishi ambayo imeondoa urasmu kwenye kuhama na...
  4. byembalilwa

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makosa ya kiuongozi aliyoyafanya Rais Samia na kujikuta anapoteza uungwaji mkono wa wananchi kwa wingi na kasi ya kutisha

    Samia anaungwa mkono na Watanzania wote kwasabu 1. Amepandisha madaraja na kuongeza mishahara Watumishi ambao walikaa miaka 7 bila daraja Wala nyongeza 2. Aliondoa VRF ya HESLB 3. AMEONGEZA AJIRA, Samia anaajir tuwe wakweli 4. Ameweka mifumo ya kiutumishi ambayo imeondoa urasmu kwenye kuhama na...
  5. byembalilwa

    JamiiForums Tanzania Hashimu Lundenga afariki dunia. Alijulikana kwa kusimamia mashindano ya Miss Tanzania

    Ameugua mda mrefu ,ukute kuna sehem ilinasa
  6. byembalilwa

    JamiiForums Tanzania Makonda amtafuta Gambo mbele ya Rais Samia, hajaonekana walipokaa wabunge wengine

    kesho anajibu kwa press mzee wa kutohudhuria vikao
  7. byembalilwa

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Chuo Kuu Huria hakitoi kwa wakati matokeo ya Mitihani, tunalazimika kutoa pesa kujisajili upya bila kufahamu matokeo

    Wahusika watakuwa wamesikia wafuatilie hao walim wanaochelewesha matokeo.
  8. byembalilwa

    JamiiForums Tanzania Mbowe usimwachie Lissu chama kwa utovu huu wa nidhamu, afadhali kifie mikononi mwako maana kilitokana na mikono yako na wananchi wenye nidhamu

    Zitto yupo amekunja nne anakula papcon na kuchekelea kwa mbaali.huyu mnyukano aliuona mapema sana
  9. byembalilwa

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe amemzidi sana Freeman Mbowe kwenye Mafanikio ya Kisiasa Kwa Miaka 10 tu 2014-2024

    Tunataka na Mbowe iwe hivyohivyo mkuu kwani anashindwa nini
  10. byembalilwa

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Marehemu Chacha Wangwe na Hatma ya Siasa za CHADEMA

    Hii hatari sana
  11. byembalilwa

    JamiiForums Tanzania Akiwashangaa Mbowe na wafuasi wake, Anaandika Wakili Jebra Kambole: "Kwani nani Hayataki Haya?

    Katiba imeweka ukomo wa rais iweje chagadema isiwe na ukomo wa mwenyekiti?
  12. byembalilwa

    JamiiForums Tanzania Kulikuwa na jaribio la Mapinduzi Chadema, Sasa wavamia Uchaguzi!

    Mbowe for life..ujinga mtupu hata Zitto kabwe mlituaminisha kwa mashair ya kichovu kama haya... Unakumbuka sakata la akina kitila mkubo ,Habibu MChange na Juliana Shonza ,ulivyokuwa unaadika uharo kama huu? Mwisho wenu umefika now ni zam ya Lissu
Back
Top Bottom