Recent content by Byabajuka

  1. B

    JamiiForums Parachichi kubwa kutoka Ngara

    Habari wadau, Mimi ni mmoja wa wakulima wa zao la parachichi kutoka Ngara. Ni parachichi zile kubwa , nzuri na zenye ladha 'creamy' ambazo hapo awali zilikua zinatoka Burundi ila kwa sasa pia zinazalishwa kwa wingi hapa wilayani Ngara. Tayari kama wakulima tuko na umoja amabo umesajiliwa na...
  2. B

    JamiiForums Wakulima wa Parachichi waliopo Ngara Kagera wanawakaribisha wanunuzi wa maparachichi

    Ki msingi zao hili ndio liko kwenye hamasa na mwamko. Hapo awali parachichi zilikua zinatoka Burundi lakini kwa sasa wwakulima wengi wilayani Ngara wanalima parachichi hizo pendwa kwa soko la ndani aina ya Choquette. Bado kuna changamoto ya madalali na soko kuingiliwa na parachichi changa...
Back
Top Bottom