Boya mkubwa wewe .Mungu atakulaani wewe huwezi kulaani watu kwa ushabiki maandazi wako kilaza wewe. Sumaye aliamin upinzani hakuna wanaofaa ndio sababu kaja kuwasaidia huko nasisi tunamuita Mr. Zero. Hivi ukitaja Waziri unaweza kumteua majembe yenu Lema na Msigwa?
Watu waongo sana Wallah sijui kwanini hayo masharti umeyatolea wapi? Na kama watu kukosa vitambulisho mbona ni wengi tu tunakosa hata mm nmekosa mara hii kupiga znz. sisi sheha anafanya hadi baadhi ya kaz ambazo zilipaswa kufanywa na mwakilishi acheni huo ujinga
Kwan Ccm imehama watu wangapi mpaka sasa na stil bado ipo? Kwa hio munataka kuwapangia ccm namna ya kuchagua wawakilishi wao au sio? Sasa kama kweli munataka ivurugike si mungeacha kimya but hivo kuongea ongea ni kuonesha kwenu kuumizwa kichwa sababu mulihisi kuna mambo ccm haiwezi kufanya...
hapo ktk ardhi usimsahau mansour ambae alikuwa waziri wa ardhi. Na alishaandikwa na magazeti mpaka yakafungiwa ila ndio stering wenu sahiv. Na kuhusu ubaguzi haukuondolewa na mapinduzi. Jiulize kwann watu waliacha kuja pemba kusoma fidel castro?
Hehehe siasa za Zanzibar hamuzijui kabisa hilo jimbo hapi ni ngome ya CCM angalia matokeo ya 2010 utajua sbbu ya cuf kulitoa hilo jimbo na fuatilia.ni watu gani wanaishi hapo
Hehehe sasa cuf mulisikia wazembe sio hawajui utamu wa ruzuku hilo jimbo ni ngome ya ccm.mjini magharibi sasa wangempa pemba afadhali ila hapo wamepitisha tu ukawa muendelee kuchezeana sarakasi!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.