Nmetumia cd intense man edt zingine sijawahi, hiyo nlivyotumia mm nlikua haruf hata siihisi ila nlikua naambiwa tu na watu wa jiran kwamba hata kabla sijafika harufu ya unyunyu wangu inasikika
Dah naona huyu emat kwasasa mjini instagram ana wafuasi wengi na mirejesho ni mingi japo nami nlichukuaga sauvage dior miaka 5 nyuma ilikua yamoto sana
Ambition plus
chimbo gani kwa sasa linajitahid kweny kutoa pafyum z kupima zenye ubora mana naona kuna machimbo niliyazoea ila saivi naona ubora wao umepungua
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.