Recent content by Bwana Yesu kristo asifiwe

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa sina kazi ila nina milion 40 sasa ni jenge au nifungue biashara? Naombeni ushauri wenu

    Ushauri tulia kwanza weka ata 30milion. UTT inakulipa nilijiwekea vimilion kadhaa utt kila mwez napata zangu laki 4 natoa zangu kwa njia ya simu najihesabia napata msharaha kwa hile pesa ambayo nimeituliza nijue cha kufanya.. ujenzi itaishia uko utakosa kitu ushauri kama upo kahama unaweza...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kwa muda mrefu sasa Naota sana kurudishwa kurudi shule, kama leo nimeota nachapwa parade

    Inbox umeweka kufuli nimeshindwa reply ngoja nikupe time table kila siku saa 4 kuna maombi mtu mmoja utapata muongozo mzuri njoo hapa lutheran church kkkt kimara korogwe jumamosi kuna maombi ya pamoja saa 5 asubuhi mpk saa 8 na kila siku jioni saa 12 na nusu mpka saa 2 usiku njoo usiteseke hiyo...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kwa muda mrefu sasa Naota sana kurudishwa kurudi shule, kama leo nimeota nachapwa parade

    Njoo kanisani kaka angu …. Mimi ni mdada ukihitaji muongozo na ufafanuzi nicheck inbox km upo dar wewe njoo kkkt lutherani kimara korogwe
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kwa muda mrefu sasa Naota sana kurudishwa kurudi shule, kama leo nimeota nachapwa parade

    Nilipitia hiyo hali nikapuuza after two year nilipoteza kila kitu nilikua naota sana ndoto za shule mitihani na feli naangaika full mateso kumbe Mungu ananionyesha kuna mtu ananishughuliki ila nilimezwa na dunia mm nasalia kkkt lutherani kimara korogwe ndo nilipopata msaada jinsi kujitoa kwwnye...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kwa muda mrefu sasa Naota sana kurudishwa kurudi shule, kama leo nimeota nachapwa parade

    Asili ya kwenu yani kiufupi kuna lafu unachezewa kupitia asili ya kwenu mizimu yani mtu wa nyumbani ndo analoga urudi nyuma ila hiyo ni step ya kwanza usichelewe sana kutafuta msaada maombi yake ni kujitenga na misingi ya kwenu damu ya Yesu ikushindie
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kwa muda mrefu sasa Naota sana kurudishwa kurudi shule, kama leo nimeota nachapwa parade

    Uko wapi njooo kkkt kimara my dear hiyo ni mizimu na miungu Inasala zake za kujitenga kuna mtu anawatolea sadaka uko kifupi mnalogwa kwa njia ya mizimu kutoka ni kaxi ila kwake Yesu kila goti linapigwa so itakuachia tu
  7. B

    JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni msaada, sijui ni mizimu ya ukoo inanisumbua, Ushauri wenu ni muhimu sana

    Uko wapi njooo kkkt kimara my dear hiyo ni mizimu na miungu Inasala zake za kujitenga kuna mtu anawatolea sadaka uko kifupi mnalogwa kwa njia ya mizimu kutoka ni kaxi ila kwake Yesu kila goti linapigwa so itakuachia tu
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ukifika miaka 30 hakikisha una moja kati ya hivi

    Hakika yani kila kitu kitakua sawa nilipoteza vyote ila Yesu kristo wa nazaleth alikua mfariji
  9. B

    JamiiForums Tanzania Tuliosoma SAUT MWANZA (main campus) tukutane hapa

    A Alifariki Bwana hivi madam mpuya yupo
  10. B

    JamiiForums Tanzania Tuliosoma SAUT MWANZA (main campus) tukutane hapa

    Sijawahi papenda mazingira ya chuo niliwamaind tcu 2011 kunichagua ila nilijikaza kusoma M 13 PR mwili mzima niliishi nje nayo nilimaind first year kupanga enzi hizo wanafunzi nyomi lecture wangu njura ( rest in peace) Octavian Mahamba katoka German anatupa story enzi hizo tupo third year.. all...
Back
Top Bottom