Recent content by Bwana Mpanzi

  1. Bwana Mpanzi

    JamiiForums Tanzania Sababu za kuwekeza kilimo cha cocoa Tanzania

    Cocoa hustawi katika maeneo yenye hali ya hewa ya joto kiasi na mvua nyingi au unyevu kutokana na uwepo wa chanzo kikubwa cha maji iwe mto mkubwa au ziwa au Bahari. Maeneo yanayofaa zaidi ni: Kanda ya Nyanda za Juu Kusini (Mbeya, Ruvuma, Njombe na Songwe): Maeneo haya yana udongo wenye rutuba...
  2. Bwana Mpanzi

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kupogolea miche ya matunda

    Ni kiswahili mkuu
  3. Bwana Mpanzi

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kupogolea miche ya matunda

    Kiswahili cha Pruning ni Kupogolea,unataka niandike lugha gani
  4. Bwana Mpanzi

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kupogolea miche ya matunda

    Miti ya matunda,mbao na hata viungo
  5. Bwana Mpanzi

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kupogolea miche ya matunda

    Naaam
  6. Bwana Mpanzi

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kupogolea miti ya matunda

    Ni kweli kabisa
  7. Bwana Mpanzi

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kupogolea miti ya matunda

    Kuna visu maalumu au ile Mikasa maarufu Mikasa ya kuprunia
  8. Bwana Mpanzi

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kupogolea miti ya matunda

    Naaam
  9. Bwana Mpanzi

    JamiiForums Tanzania Nyakati sahihi na zisizo sahihi za kupanda miche ya matunda na viungo kibiashara

    Kwa ushauri,elimu, kutembelewa mashambani,kufundisha vikundi vya wakulima au Mameneja mashamba na Miche ya matunda,viungo,tiba na miti, Wasiliana nasi, Shamba initiatives Enterprises (T) Ltd, Maumba strt,Karibu na kwa mkuu wa mkoa, MOROGORO MANISPAA 0714600575 || 0789048661 Nyakati sahihi na...
  10. Bwana Mpanzi

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kupogolea miche ya matunda

    Kwa nini ni muhimu kupogolea miti ya matunda: 1. Kuboresha ukuaji na uzalishaji: Kupogolea huwezesha mti kuelekeza nishati yake kwenye sehemu zenye afya na kuimarisha ukuaji wa matawi na matunda bora zaidi. Husaidia mti kuzalisha matunda mengi na yenye ubora kwa kuruhusu mwanga na hewa kupenya...
  11. Bwana Mpanzi

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kupogolea miti ya matunda

    Kwa nini ni muhimu kupogolea miti ya matunda: 1. Kuboresha ukuaji na uzalishaji: Kupogolea huwezesha mti kuelekeza nishati yake kwenye sehemu zenye afya na kuimarisha ukuaji wa matawi na matunda bora zaidi. Husaidia mti kuzalisha matunda mengi na yenye ubora kwa kuruhusu mwanga na hewa kupenya...
  12. Bwana Mpanzi

    JamiiForums Tanzania Kamwe miti ya matunda ya kisasa haiwezi lingana na ya asili iwe utamu au kuzaliana

    Hatuuzi miti ya kisasa tu na sijakufuata kuwa natangaza,nimejibu kwa sababu kuna upotoshi ndani ya jumbe zako. Vyema ungeuliza
  13. Bwana Mpanzi

    JamiiForums Tanzania Kamwe miti ya matunda ya kisasa haiwezi lingana na ya asili iwe utamu au kuzaliana

    Hautunzi miti yako. East African Tall huanza kuzaa miaka 5 mpaka 7 au 8 kwa inayochelewa.
  14. Bwana Mpanzi

    JamiiForums Tanzania Bismarckia nobilis palm

    Mbegu zake na za jamii yote ya Palms tunazo.
Back
Top Bottom