HABARI WA JF NINAHITAJI MWALIMU WA SHULE YA MSINGI WA KUBADLISHANA NAE KITUO CHA KAZI AJE LUSHOTO-TANGA NA MM NIENDE MKOA WA MWANZA WILAYA YA MAGU, SENGEREMA AU JIJI!!! MAWASILIANO YANGU NI 0768722424 NA 0719195330. AHSANTEN :lol::lol:
Habari za leo wana JF, mke wangu anahitaji mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi yeye yupo Lushoto Tanga anahitaji kuja Geita mjini. Yeye ni mwalimu wa primary,kwa yeyote mwenye uhitaji huo au kama unamfahamu mtu mwenye uhitaji huo tafadhali naomba tuwasiliane kwa namba hizi 0768722424...
Habari za leo wana jf, mke wang anahitataji mtu wa kubadlishana nae kituo cha kazi kuja gieta mjini yeye yupo lushoto tanga. Tafadhali kwa yeyote mwenye kuhitaji kubadilishana au kama unamfaham mwenye uhitaji huo naomba tuwasiliane kwa namba hizi 0768722424
Habari ndug zang wana JF naombeni mawazo yenu juu ya hii e mail apo chini nliwaomba kazi hawa jama tangazo niliiona mahali fulani kam kuna mtu anawafaham vizuri hawa jamaa mana napata utata plz nisaidie nisije tumbukia choo cha kike
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.