Recent content by buzohela wa nkerame

  1. B

    Wasifu wa Deo Filikunjombe

    ahamie Chadema
  2. B

    Katibu mkuu Wizara ya Afya aitwa Ikulu

    Napita zangu wakuu...................
  3. B

    Maendeleo ya Mgomo wa Madaktari na Mwitikio wa Serikali

    Madaktari wako sawa 200% 1. Call allowance ya Daktari ni Tsh 10,000 wakati maafisa wengine wa serikali hujilipa posho nono 2. Kazi ya daktari ni yeye na mgonjwa hakuna safari kama kada nyingine za serikali na NGO 3. It is risk kumuhudumia mgonjwa wa Ukimwi, TB, Shurua na mengine mengi...
  4. B

    NCCR Mageuzi yamfukuza uanachama Kafulila na wenzake!

    Nakubaliana nawe ndg Gaijin, gharama alizotumia Kafulila mpaka hapo ni kubwa halafu pamoja na gharama za uchaguzi mbunge akifika bungeni huigharimu tena nchi hasa wabunge wapya
  5. B

    NCCR Mageuzi yamfukuza uanachama Kafulila na wenzake!

    Ndugu hili litamuumiza kila anayeishi humu nchini kwa sababu halitokei directly ila indirectly kwenye huduma na mahitaji ya jamii. Kila utakachofanya kitakachohusu pesa ujue kuna % unalipia. Wachumi wanaelewa zaidi.
  6. B

    NCCR Mageuzi yamfukuza uanachama Kafulila na wenzake!

    Pole kwa Kafulila, waliomchagua na wote wasiopenda matumizi mabovu ya pesa za Taifa hili.
  7. B

    NCCR Mageuzi yamfukuza uanachama Kafulila na wenzake!

    Taarifa ya kufukuzwa kwa Kafulila itakuwa imepokelewa katika namna na mitazamo tofauti kulingana na utofauti uliopo miongoni mwa wanajamii hasa kisiasa. Pamoja na utofauti huo ukweli utabaki palepale kuwa uamuzi huo uliofanywa na watu wachache wenye dhamana katika chama kusika unaathali kubwa si...
Back
Top Bottom