JIbu lako lipo kwenye maswali yangu
1.kwenye huu ulimwengu je ni binadamu peke yake mwenye akili ya kiwango cha juu?
Kama ni ndio naomba uthibitisho
2. Ikiwa wewe unaweza kuunda vitu kwa kutumia kanuni fulani, je hakuna mwingine mwenye uwezo wa kuunda vitu fulani kwa kanuni zake zilizo ndani...
Wewe na kiranga hamna tofauti, unatoa hoja zako na fact nyingi kuonesha mungu yupo halafu mkikaribia kufunga mada anakurudisha nyuma tena kwa swali lile lile dhibitisha uwepo wa mungu
Hawajaondoka kwa tafsiri yako
Mfumo wa uuzaji wa bidhaa ulikuwa wa kinyonyaji, walikua wanaimport bidhaa cheap na kujipatia faida kubwa, sasa ivi soko limebadilika watu wanaleta kile jamii inataka kwa gharama nafuu tofauti na zamani
Nadhani utakuwa umenielewa
UNaposema tatizo ni jamii nashindwa kuelewa ni jamii gani hiyo?
Serikali imeweka kodi nying za indirect hivyo hakuna mtu ambaye halipi kodi 100%
Kama wananchi wanalipa kodi je hizo fedha zinaenda wapi. Bungeni bajeti zinasomwa vizur na hela zinagawanywa vizr ila kwenye utekelezaji wa viongoz...
Mkuu ili serikali ilete maendeleo ni lazima kiongozi mkuu awe mfumo unaojitegemea sio mualikwa wa mfumo fulani ambao watamtumia bila yeye kujua kama anatumika
NB: haya hayahusiani na mambo ya sasa ni kitu ambacho hata serikali hii ikitoka bila kuondokana na mifumo isiyo ya kizalendo mambo...
Unajizima data kijana
Lini wananchi wamewahi kuuweka utawala wanaoutaka na wakafanikiwa kufanya hayo mabadiliko?
Mfumo ndio unaamua rais aendelee kulamba miaka kumi au mitano ama zaidi ya hapo
Wewe upo kwenye mfumo dhaifu kelele zako haziwezi kuyumbisha kundi mfumo ambalo lina nguvu...
KWanza kabisa inatakiwa uelewe tafsiri yangu ya neno mfumo inaweza kutofautiana na vile wewe unavyotafsiri hata pia watu wengine wanavyotafsiri
Kwangu mimi mfumo ni kundi la watu, yapo makundi dhaifu pia yapo makundi yenye nguvu
Makundi yenye nguvu ndio yanayoleta athari kubwa kwa makundi...
Wazungu wanaakili sana hasa wakikutana na mtu mwenye boga kichwani kama wewe
Ni mpumbavu pekee atakayekubali kuuza rasilimali zake kwa wino na kuendelea kuuheshimu wino
Angalia hao wanaojifanya wanatusainisha mikataba pale wakiona mkataba unaenda kinyume wanachukua hatua gani
Mikataba...
Kwaiyo na wewe unataka kunipeleka kwenye mtego gani?
Mm natambua mfumo ndio mbovu na matokeo tuliyaona kwa magu plae ambapo alienda kinyume na mfumo alifanikiwa kuleta maendelea ya haraka sana
Elewa neno mfumo kwanza
Hata ccm ikitoka madarakani leo hii na kuingia chama kingine usitegemee...
Kwaiyo na wewe unataka kunipeleka kwenye mtego gani?
Mm natambua mfumo ndio mbovu na matokeo tuliyaona kwa magu plae ambapo alienda kinyume na mfumo alifanikiwa kuleta maendelea ya haraka sana
Elewa neno mfumo kwanza
Hata ccm ikitoka madarakani leo hii na kuingia chama kingine usitegemee...
Kijana naona huijui nchi yako vizuri
Wapo wengi wamewahi kutikisa kwenye siasa lakini tukiwaangalia leo hiii sio wale tena.. mbowe,msigwa,zito,dr slaa na wengineo wengi
Tatizo la nchi yetu sio ccm kaa ukijua hilo hata tukimuweka huyo lisu madarakani usitegemee maajabu atafanya yaleyale tu...
Usipende kumlinganisha magufuli na huyo mjelajela wako
Mjelajela si ndo yule aliwastua jamaa wa makinikia kwamba waende mahakani kesi yao watashinda? The rest andunje akaona this is too much huwezi kuwa upande wa adui zetu ni lazima upewe adhabi ya kumwajiwa maharage.( kumbuka kipindi kile magu...
Yericko nyerere wewe ulikuwa ni miongoni mwa watu ambao nilikuwa nawafatilia kwa kiwango kikubwa.. zamani nilikuwa siachi hata nukta kwenye machapisho yako ila siku za hivi karibuni nikiona chapisho lako nalipita bila kusoma kilichomo ndani
Siasa zako za ndani zimeshusha brand yako kwa kiwango...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.