acheni kushabikia mahakama ambayo kila siku mnadai inasimamia mirathi. nyie ni watu wa ajabu kweli. kuna mambo ya msingi mengi ambayo mnapaswa kuyasimamia c mahakama. jipangeni bwana vitu vingi mko nyuma sana.
lipumba hana mvuto kisiasa na pia hakubaliki mpaka kwao. ndo mana chaguzi zote amekua akigalagazwa sana. Kimsingi kua prof wa uchumi haitoi ticket ya kua na sifa za kugombea uraisi kuliko wengine. na kumbukeni kwa huku Tanganyika CDM ndo yenye nguvu miongon mwa vyama pinzani. Any way huu nadhani...
Haina haja ya kutukana mbona wakija wapinzani kama mchungaji msigwa, tundu lisu, kafulila na wengine hua hamtukani. lazima mkubali hoja za wenzenu. nyie akija mpinzan kipindi kizuri akija wa ccm kipindi kibaya tuwaeleweje sasa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.