Recent content by BUYANWEL

  1. BUYANWEL

    JamiiForums Tanzania Nimeandika vitabu vya Jipime (Darasa la 5 - 7) utaratibu wa kuviuza upoje?

    Habari ya leo, Nimeandika vitabu vya English na Math Mitihani 20 na majibu yake kila kimoja kwa shule za msingi (Darasa la Tano hadi la Saba wanaweza kuvitumia). Ninauliza nitapata changamoto yoyote kuviuza nikishaprint? Kuna katazo lolote? Kuna utaratibu wowote wa kufuata zaidi?
  2. BUYANWEL

    JamiiForums Tanzania Vitabu vya elimu ya fedha na uwekezaji vinauzwa

    Nimeandika vitabu vya English na Math Mitihani 20 na majibu yake kila kimoja kwa shule za msingi. Ninauliza nitapata changamoto yoyote kuviuza nikishaprint? Kuna katazo lolote? Utaratibu upoje?
  3. BUYANWEL

    JamiiForums Tanzania Ushauri asomee nini

    Akafanye diploma ya Agribusiness with Technology pale Mbeya University - MUST D mbili za Geography na Biology zinampa nafasi
Back
Top Bottom