Social science courses, najua kuna utofauti bt nataka kujua inarange kati ya ngapi hadi ngapi, though shida kuu ni kuelewa muda wa application na jinsi ya kujiunga
Habari wakuu, naomba msaada kwa yeyote mwenye maelezo sahihi kuhusu NAIROBI UNIVERSITY, mfano ada, mazingira ya chuo na jinsi ya kujiunga yaani application huwa zinafanyika muda gani na masomo yanaanza mwezi wa ngapi kwa course za shahada/degree.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.