Hili ndio tatizo letu vijana wengi, tunapenda shortcut na kuaminishana katika kupata ajira yenye asali ya kutosha. Anza na kile kilicho mbele yako kuna watu wanapambana mtaani kuzipata nafasi za afis mtendaji wa kijiji na baada ya miaka 10 au 15 unakuta ni mkurugenzi wa halmashauri au mkuu wa...
Hii ni sehem ya jobless kujifariji na kupeana tips za hapa na pale, na inapotokea miongoni mwetu kama hivi kulamba asali tunapeana update kwa lengo la kupeana moyo na kutokata tamaa... Usikaze fuvu sana kwa kila kinachotumwa mengine ni utani tu. Au unataka kusema nini?
Habari, fanya miamala kwenda mitandao ya simu/benki nyingine kabla ya tar 1/7/2024 kwani huduma itasitishwa kwa tarehe hiyo kufunga mwaka wa fedha wa serikali.
Habari, kupisha kufungwa kwa mwaka wa serikali tar 1/7/2024 huduma za TISS na cheki hazitapatikana siku hiyo, unashauriwa kutumia...
Alifanya oral tarehe ngap? Walioitwa walikuwa 21, mmoja hakufanya baada ya kuona jina lake kwenye pdf so akaenda kuchukua barua yake akaondoka. Walifanya 20 waliobak na majina yao yako hapo na wameongezeka 6
Kwenye hizi harakati kikubwa ni dua na kutokata tamaa tu. Kuna post ilitaka watu 4 oral wakafanya 20 wote watokea kwenye Pdf na wameongeza 6 kutoka database. Tuendelee kujifukiza wakuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.