Recent content by but_why

  1. but_why

    Nimetoka Posta na TRA, nawashauri msiagize mizigo kwa njia ya posta. Ni hatari

    MKUU NIKUSHAURI WAKATI MWINGINE MZIGO KAMA HUO TUMIA AGENT MFANO MIMI NIMEAGIZA ALIBABA MZIGO MARA MBILI KWANZA NILIAGIZA BETRI YA FAT BIKE PILI NILIAGIZA VIFAA VYA GENERATOR , HIVI VYOTE NILIWAAMBIA WAUZAJE WANIPELEKEE KWA WASAFIRISHAJI ,HAPA NILITAFUTA KAMPUNI MOJA YA USAFIRISHAJI INAITWA...
  2. but_why

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    sijaziacha mkuu zilikua hazitoki so nikawa naendelea kubet ad imefika 20+
  3. but_why

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    zilikubali zile laki 5 mara 2 tuu ,3m haikutoka nimecancel mda huu
  4. but_why

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    aisee mimi hadi sasa wana 22m nimefanikiwa kutoa 1m kwa laki tano tano saiz nimejaribu 3m ndo nasubiri nione
  5. but_why

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    betpawa sasa mizigo imeanza kutoka nimefanikiwa kutoa 1m kwa kutoa laki tano tano
  6. but_why

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    WEKA KIASI UNACHOWEZA KUSTAHIMILI KUKIPOYEZA KWA SINGLE BET EXETER VS MIDDLES( 2 HANDICAP -1) WOL VS LEIPZiG LEIPZIG WIN
  7. but_why

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    mara nyingi G_G au home or away team to score , mara chache handicap na 2
  8. but_why

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kwa mizinguo ya betpawa imebidi nianze upya kukuza mtaji nimeanza jana na 67000 now nna 230000 acha tuanze upya wakati tunasubiri kule
  9. but_why

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    mkuu sijaweka hela betpawa ,kuna milion 20 iligoma kutoka ndo naibetia hyo
  10. but_why

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    [emoji736][emoji736] hii mikeka ni migumu na inahitaji maamuzi magumu
  11. but_why

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    muhimu tulipwe tuu mkuu
  12. but_why

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    sawa mkuu shida mimi pesa ndo ipo huko naendeleza tuu mapambano
  13. but_why

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mwishowe aseme mimi ni robot
  14. but_why

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Shida pesa hazitoki sasa
Back
Top Bottom