Recent content by Busumba

  1. B

    JamiiForums Benki si Mahali Salama Tena Kuhifadhi Pesa Zetu!

    Nimekuelewa mkuu...ila ulevi we baki nao.
  2. B

    JamiiForums Benki si Mahali Salama Tena Kuhifadhi Pesa Zetu!

    Mimi naamini Tanzania bila Exim inawezekana. Kama wanaleta dharau, mzaha na ukorofi katika hili waondoke ili kuzuia wizi mwingine usitokee na pia iwe fundisho kwa benki zingine. Jamani tuacheni utani, mzaha na kuoneana aibu kwa mambo ya msingi. Haya ndo yanayo imaliza nchi yetu. Tujifunze...
  3. B

    JamiiForums Benki si Mahali Salama Tena Kuhifadhi Pesa Zetu!

    Ushauri wangu mimi ni kwa BOT na Waziri husika. Najua mnaweza mkawa na nia nzuri ya kusema kuwa hili sakata muachie exim na wateja wamalizane au mahakama husika. Ila jueni kuwa IMANI ya watanzania inapotea kila kukicha juu ya umuhimu na uwezo wenu. Na hii sio nzuri kwa uchumi wa nchi yetu hasa...
  4. B

    JamiiForums Benki si Mahali Salama Tena Kuhifadhi Pesa Zetu!

    Zuzu...kasome raia mwena ndo uchangie...
  5. B

    JamiiForums Wizi wa fedha Exim bank Arusha branch

    Ndio hivyo mkuu. hebu waeleze hao exim...maana wameziba macho na masikio...
  6. B

    JamiiForums Benki si Mahali Salama Tena Kuhifadhi Pesa Zetu!

    Kweli mwana jf umenena...
  7. B

    JamiiForums Benki si Mahali Salama Tena Kuhifadhi Pesa Zetu!

    Mkuu wee ndo pombe tupu... maana nikisoma hoja zako kama vile kilio cha watanzania maskini hukisikii...unazungumzia shilingi bilioni 7.3 zilizoibiwa na wafanyakazi wa benki ya exim. nyie ndo wale wale....
  8. B

    JamiiForums Benki si Mahali Salama Tena Kuhifadhi Pesa Zetu!

    Intelejensia gani inachukua karibia mwaka? Changa la macho hilo kwa watanzania...
  9. B

    JamiiForums Wizi wa fedha Exim bank Arusha branch

    Ila EXIM wasiwafanye watanzania na serikali yao ni wajinga...lakini pia BOT inabidi watupe majibu ya kueleweka. Kama kweli EXIM wamekuwa wakidanya BOT na watanzania kwa ujumla kwa takribani miaka mitatu kwa kutoa taarifa za fedha za mwaka za uongo, sio ukweli kwamba kuna mengi yamejifisha? Na ni...
  10. B

    JamiiForums Wizi wa fedha Exim bank Arusha branch

    Mkuu naguunga mkono 100%. Tatizo ninalo lihisi mimi ni kama baadhi ya wana JF wengine walivyochangia kuwa inaonekana RUSHA imetawala katika jambo hili. Ila wantanzania tujue kuwa MUHINDI akishakupa RUSHWA anakufanya kama tambala bovu na kila mtu atujua...yaani anakufanya kama puppy wake...
  11. B

    JamiiForums Benki si Mahali Salama Tena Kuhifadhi Pesa Zetu!

    Nakuunga mkono mkuu. Sasa kwa nini wacheleweshewe kulipwa pesa zao? Si wawalipe tu ili kelele ziishe. Mimi ningeishauri exim huu ucheleweshaji ni kuzidi kuwakasirisha wateja waliopoteza pesa zao kihalali, kupoteza wateja waliopo na watarajiwa na pia kuendelea kujichafua. Hebu waanze kwa kufanya...
  12. B

    JamiiForums Benki si Mahali Salama Tena Kuhifadhi Pesa Zetu!

    Hivi ina maana wote walioibiwa walikuwa wanawapa wafanyakazi wa benki pesa zao nje ya benki?
  13. B

    JamiiForums Wizi wa fedha Exim bank Arusha branch

    Mimi nasikia wengi walioibiwa ni wachimbaji wadogowadogo wa mirerani. Kwa nini wasikusanyane wakaenda Exim ili wajue hatima yake? Hivi kulipwa ni ndoto. We hujui Exim ni benki ya wahindi? Fuatilia menejimenti yao ilivyo toka chini mpaka juu...ndo ujiulize kuna kulipwa bila kuwa serious?
Back
Top Bottom