Recent content by bushoke wa dar

  1. bushoke wa dar

    JamiiForums Tanzania Tunatafuta bajaji ya mkataba au hata ya kupeleka hesabu kwa siku

    Ohh ok shukran mkuu
  2. bushoke wa dar

    JamiiForums Tanzania Tunatafuta bajaji ya mkataba au hata ya kupeleka hesabu kwa siku

    Mkuu soma thread
  3. bushoke wa dar

    JamiiForums Tanzania Tunatafuta bajaji ya mkataba au hata ya kupeleka hesabu kwa siku

    Yupo dar kiongozi
  4. bushoke wa dar

    JamiiForums Tanzania Tunatafuta bajaji ya mkataba au hata ya kupeleka hesabu kwa siku

    Wakuu tupeni ushirikiano
  5. bushoke wa dar

    JamiiForums Tanzania Tunatafuta bajaji ya mkataba au hata ya kupeleka hesabu kwa siku

    Habari za asubuhi wakuu .. kuna ndugu yangu anatafuta bajaji ya mkataba au hata ya kupeleka hesabu kwa siku 1. Anayo leseni ya udereva 2. Ni mwadilifu pia ni mcheshi 3. Ni mchapa kaz muda wote Boss wa bajaji au gari ya bolt nakuhakikishia hutojutia endapo utampa kazi ndugu yangu, kiumri ni...
  6. bushoke wa dar

    JamiiForums Tanzania Dereva wa delivery anapatina

    Wakuu wanajamii forum kuna ndugu yangu anatafuta kibarua cha udereva wa delivry iwe ofisini kwenye restorant au kwenye maduka anafanya ... Anajua kutumia chombo cha moto vizuri pikipiki na gari pia na analeseni ya udereva... Kama kuna mtu yoyote atamuhitaji basi awasiliane na mimi pm ..
  7. bushoke wa dar

    JamiiForums Tanzania Wauzaji wa suruali za vitambaa(boss na kampuni zingine)

    Unahitaji ngapi mkuu me nnazo ni mpya karibia pc 40 hivi
  8. bushoke wa dar

    JamiiForums Tanzania Naagiza vitu kutoka Amazon na China

    0612450131
  9. bushoke wa dar

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi duka la skin care and body care

    mkuu kama huna utaalam wa skin care but kwenye mauzo na kupromote bidhaa niko vizur naweza kuomba kazi hii
  10. bushoke wa dar

    JamiiForums Tanzania Naagiza vitu kutoka Amazon na China

    Habari wakuu nishawahi kutoa uzi wa kutafuta ajira but wengi mlinipa ushaur wa kujiajiri mimi mwenyewe. so nimerudi tena kwa wale ambao wanahitaji vitu kutoka amazon au kutoka china kua naagizisha mzigo kutoka sehem hizo na utakua unauona kiganjani mwako mpaka unakufikia ulipo ...
  11. bushoke wa dar

    JamiiForums Tanzania Freezer Inahitajika

    ninayo boss
  12. bushoke wa dar

    JamiiForums Tanzania Wakuu Natafuta ajira au mchongo wowote wa kufanya

    bado kiongoz
  13. bushoke wa dar

    JamiiForums Tanzania Udalali nayo ni ofisi pia

    kaka toa namba
  14. bushoke wa dar

    JamiiForums Tanzania Kama kuna mchongo wowote

    asante kaka sikuona
Back
Top Bottom