Recent content by bushishi bhumu

  1. B

    Utoro wa wabunge wa CHADEMA bungeni.

    Ebana ukifuatilia issue hizi za siasa ni hadi uwe mkubwa wa akili sana la sivyo utashindwa kuisha kwa raha na kufa kwa stress tu.
  2. B

    Zitto Kabwe awasha moto kuhusu mabilioni ya Uswisi, amwandikia barua Katibu wa Bunge

    Zitto fanyeni kweli kuhusu mapesa haya na isiwe longo longo tu.
  3. B

    Dr. Slaa: Uchaguzi CHADEMA utafanyika baada kuwa na chama imara

    Dr.slaa ni wa ukweli na ni mtu mwenye doctorate ya kweli si ya kupewa, hivyo hata kauli zake ni za ukweli.
  4. B

    Rais Kikwete atunukiwa shahada ya uzamivu ya chuo kikuu cha Guelph jimboni Ontario Canada

    SUA mnatambua doctorate hii? maana nimeona hata kurugenzi ya IKULU haiwatambui kabisa: eti inasema chuo cha sokoine cha mzumbe, what's this? ovyooooooo!
  5. B

    Nape: Msajili wa vyama kashauriwa vibaya swala la Balozi wa China

    Toka lini balozi akawa mpiga dembe wa siasi? Au kunanini? Wtz tusiwe watu wa kuburuzika kiasi hiki na wanasiasa nanyi tendeni ktk haki. Haya mengine hatutaki na mimi nina laani kitendo cha balozi huyo wachina tz.
  6. B

    Hivi MUGABE ameshawi kupewa u-PHD? Nyerere je?

    Mmmmh! kwani nn? aliyepewa si ni mtz? Bongo ndivyo maisha yalivyo. Hatuthamini vitu kama elimu. Hivyo acha liende, tutafika.
Back
Top Bottom