Mheshimiwa January Makamba, Mbunge wa Bumbuli, leo amekumbwa na kitu ambacho hakukitarajia katika maisha yake baada ya kukutana na hasira za wananchi wake jimboni.
Mbunge huyo ambaye sasa yuko katika ziara jimboni kwake kwa zaidi ya siku tano, amekuwa anatembelea baadhi ya vijiji na maeneo...
Tukiwa tunaelekea katika uchaguzi mkuu habari ndani ya CCM zimewaweka viongozi wa upande wa Zanzibar kwenye nafasi ya watu wanaokubarika kuongoza serikali ya Muungano baada ya kuona waliojitokeza wengi wanaonekana kuwa na doa la kikanuni la kuanza kampeni mapema na kutumia njia zisizoruhusiwa...
Utafiti uliofanywa juu ya utendaji wa mawaziri wa awamu ya nne ya raisi Jakaya Kikwete umeonyesha baadhi ya mawaziri ambao si maarufu kuwa watendaji wazuri ndani ya wizara zao.
Vigezo vilivyotumika kupima utendaji huo ni pamoja na mabadiliko ndani ya wizara zao, mahusiano ndani ya wizara zao...
Pamoja na kujitangaza sana katika media (magazeti, tv na radio) na kwenye mitandao ya kijamii, January Makamba bado ameshindwa kuonyesha mvuto wake katika utendaji, kijana huyu anayejiona MSOMI wa juu sana amekuwa ni katika wabunge wa CCM ambao raisi Kikwete amewaweka serikalini kwa shinikizo la...
Hii ndio wizara ambayo mzee Wasira anaiweza zaidi, anajua ni wizara inayobeba watanzania wengi na ndio msingi wa maendeleo ya nchi yetu.
ASANTE WASIRA ASANTE KIKWETE KWA KUTAMBUA KWAMBA WASIRA NDIO ANAFAA
Lowasa hana uwezo wa kuliongea la Escrow wakati yake yamemjaa na anajaribu kujisafisha.
Lowasa alikuwa anaombea Escrow lihalibike japo wawe wengi wachafu ma yeye atumie nafasi hiyo kujiwekea mazingira ya kuonekana msafi...
Nimeshangazwa sana na ujasiri anaouonyesha AG ndani ya bunge kuhusu suala la escro,
1. hiki kiburi anakitoa wapi?
2. nani anamlinda au yeye analidwa na nani?
3. je mwanasheria huyu kweli hajua dhana ya uwajibikaji?
hii nchi inahitaji system overhaul...Mh.Raisi aje aanze na huyu kwanza.
January Makamba akiwa raisi wa nchi hii basi mimi nitahama nchi niende Burundi au Rwanda....
hana sifa hata kuwa mbunge.....anadhani atabebwa tena na baba yake
Kumekuwa na na matamko mbalimbali hivi karibuni ya baadhi ya watu wakishauri raisi ajaye awe "dicteta" kwa maana anatakiwa awe na maamuzi magumu na mazito ili kurudisha utawala bora na uadilifu kwa viongozi, moja ya viongozi waliosema haya ni january makamba.
Kwanini tunahitaji "Dicteta"...
Muacheni mzee Makamba aje kumchafua Lowasa na sisi tutamuuliza maswali yafuatayo:
1. Anakumbuka siku alipompa mimba mwanafunzi akafukuzwa kazi
2. Je anakumbuka alipokuwa morogoro na kiongozi mwenzie sasa marehemu walipo kodisha hoteli na kuweka wanafunzi kwwnye vyumba na kuanza kufanya nao...
Ni sheeedah....
1. Katika CCM Mzee wasira ndio kiongozi anayeweza kurudisha mshikamano na umoja ndani ya chama kwa kuwa hana makundi ya kisiasa.
2. Uadilifu wake ni sifa ya kiongozi tunayehitaji kwa sasa ili aweze kusimamia maendeleo ya nchi hii lakini pia kusimamia maadili ya nchi yetu ambayo...
Hatimaye leo waziri mkuu Mh. Pinda amekutana na viongozi wa mkoa wa tanga ma wale wa kiwanda cha chai kutatua mgogoro wa kiwanda cha chai cha mponde uliodumu kwa kipindi cha mwaka mmoja na nusu.
Mh. Waziri mkuu ameamulu kiwanda kifunguluwe haraka chini ya wasimamizi wake wa zamani kinyume na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.