Recent content by Burton Chapeka

  1. Burton Chapeka

    Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020

    MAPOKEZI: Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (kushoto), Tundu Lissu, makamu mwenyekiti wa chama hicho na John Mnyika, Katibu mkuu wa chama hicho wakitoka kumpokea Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere baada ya LIssu kuwasili Tanzania kutoka Ubelgiji.
  2. Burton Chapeka

    Uchaguzi Mkuu 2020: Pesa zaanza kuchotwa kutoka mfuko wa pesa za kigeni

    Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2020 wa kupata Rais, Wabunge na Madiwani, utalazimika kutumia kiasi cha fedha kutoka Akiba ya Fedha za Kigeni (GOR). Hatua hii inatokana na Serikali kukwama kupata fedha za kutosha kugharamia uchaguzi huo kutoka kwa nchi wahisani kama ilivyozoeleka kwa miaka mingi...
  3. Burton Chapeka

    Lupaso, Mtwara: Rais Mstaafu, Hayati Benjamin William Mkapa azikwa kwa Heshima

    MSEMAJI WA FAMILIA: RAIS MKAPA AMEFARIKI KWA MSHTUKO WA MOYO William Erio amesema Rais Mkapa alikuwa hajisikii vizuri Jumatano na alikutwa na Malaria, akalazwa Alhamisi alikuwa anaendelea vizuri na kufuatilia Kura za Maoni za CCM, na alifariki kwa mshtuko wa moyo
  4. Burton Chapeka

    Matokeo ya uchunguzi wa shambulio la Tundu Lissu kutolewa hadharani?

    Ofisi ya mawakili wa kimataifa, Amsterdam and Partners inayoshika mikoba ya kumwakilisha Tundu Lissu kisheria, imesema inajiandaa kutangaza matokeo ya uchunguzi juu ya kushambuliwa kwa mteja wake. Taarifa zinaeleza kuwa mawakili hao wanajiandaa kutangaza matokeo ya uchunguzi wao muda wowote...
  5. Burton Chapeka

    Waandishi wa Habari: Hatma ya waandishi makada wa Chama cha Mapinduzi

    Heshima, hadhi na uaminifu kwa Vyombo vya Habari, hasa magazeti kwa sasa inaelekea kukoma baada ya wamiliki, waandishi waandamizi na wahariri kuhamia kwenye siasa. Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, 2020 umedhihirisha hivyo baada ya Viongozi hao wa Vyombo vya Habari kukimbilia kuomba kuteuliwa na...
  6. Burton Chapeka

    Mwanyika abomolewa account NSSF, alipa TZS Bilioni moja

    Michango ya NSSF ya Deogratius Mwanyika, aliyekuwa Rais wa migodi ya Pangea, North Mara Exploration na Bulyanhulu, imelazimika kutumika kulipa sehemu ya fidia ya makubaliano maalum kwa Serikali baada ya kukiri kufanya makosa ya uhujumu uchumi. Fedha kiasi cha TSh bilioni 1, kilichotwa na...
  7. Burton Chapeka

    Siku 7 za maombolezo tutafakari ombi la mwisho la Mkapa kutaka kuona Tume Huru ya Uchaguzi na upinzani kushirikishwa katika tume

    Rais mstaafu Mkapa alivyodai Tume huru ya uchaguzi. BENJAMIN William Mkapa, Rais mstaafu wa awamu ya tatu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amehitimisha safari yake ya miaka 81 dunia. Mkapa aliyeiongoza Tanzania kwa miaka kumi kati ya mwaka 1995-2005, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo...
  8. Burton Chapeka

    TANZIA Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tatu afariki dunia

    Benjamin William Mkapa President of Tanzania (1995-2005) Date and Place of Birth: 12 November 1938, Masasi (Tanzania). Education: Mr. Mkapa holds a Bachelor of Arts degree in English from Makerere University College in Uganda (1962). Professional Experience: Benjamin Mkapa worked as a...
  9. Burton Chapeka

    TANZIA Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tatu afariki dunia

    Tumepokea habari ya kusikitisha ya kifo cha Rais mstaafu Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania 1995-2005. Ni pigo kubwa kwa watanzania. Rais Mkapa kipindi cha karibuni amekuwa mstari wa mbele kupigania haki na demokrasia ikiwa ni pamoja na kushauri Tume Huru ya Uchaguzi na haki za wananchi...
  10. Burton Chapeka

    Yadaiwa Makonda alimwaga Rushwa Kigamboni, mratibu wake alikuwa Jack Pemba

    Mkakati wa timu ya Makonda kuhakikisha zinapatikana kura nyingi za maoni kutoka kwa wajumbe wa mkutano mkuu Jimbo la Kigamboni uligubikwa kwa rushwa, imebainika. Rushwa hiyo iliyotembezwa waziwazi kwa wajumbe wa mkutano huo uliomalizika leo, imedhihiri baada ya wapambe wa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa...
  11. Burton Chapeka

    RUSHWA: Madai mazito ya uwepo wa vitendo vya Rushwa katika mchakato wa kupata wagombea Ubunge kupitia CCM

    YAMEIBUKA madai mazito ya uwepo wa matukio ya rushwa kwenye kinyang’anyiro cha kumsaka mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), atakayepeperusha bendera ya chama hicho kwenye nafasi ya ubunge jimbo la Arusha Mjini. Mbinu alizotumia Makonda huko Kigamboni zinafanana. Aidha msimamizi wa Uchaguzi...
Back
Top Bottom