Ila mkuu huwa unajua kukomesha watu, wanapanic kwa won tickets zako wala huna shida wala maneno mengi. Wangekuwa wengine hapa kungekuwa na ngonjera na taarabu nyingi sana.
Mkuu achana na Betpawa, ingia Sportybet. Iko vizuri zaidi ya Betpawa. Wana option ya kufanya analysis kwenye site yao kiasi kwamba unaweza kuangalia timu ni ya ngapi kwenye msimamo, H2H, na matokeo ya mchezo 5 iliyopita kwa kila timu. Pia wanayo App japo haiko playstore, lakini ukiingia kwenye...
Yaani hili gundu sijui nalitoaje, kati ya timu 25, 2 tu ndiyo zilinilaza na viatu 23 zikatiki.
Juzi napo kati ya timu 15 timu moja tu ndiyo ilinichania
Hii app ni maalum kwa watu walio kwenye hizo nchi ndiyo watajisajili kisha anakutumia wewe huku Tanzania inaingia moja kwa moja kwenye Mpesa au Airtel money yako.
Mimi pia nimewahi kupokea pesa kwa njia hii
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.