Watu kama wewe ndo wanahitajika katika jamii ya sasa,ya kizazi kipya unabuni mambo na kuomba ushauri!kuna sehemu moja inaitwa T-square ipo maeneo ya mbezi beach kama unaelekea White Sands Hotel kutoka kituo cha Afrikana.Naona kuna mtu pale anamisuse lile eneo baada ya kuweka kitu cha maana yeye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.