Recent content by BungeLetu

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kwa Katiba ya Tanzania Rais ana mamlaka ya kuteua waziri/ naibu waziri nje ya chama kinachounda serikali?

    Andiko la: Wakili William Maduhu 1.1UTANGULIZI Tarehe 2 Mei 2026 vyombo vya habari na watanzania kupitia taarifa ya Mkurugenzi wa Mawasiliano ikulu tulijulishwa kuwa Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemteua Mhe Dkt. Eveline Munisi kuwa Naibu waziri katika ofisi ya waziri mkuu...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe awataka Wakuu wa Mikoa kusimamia Halmashauri ziwe na mipango Madhubuti ya kuzalisha Nafaka na Mazao

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe, amewataka Wakuu wa Mikoa nchini kuhakikisha Halmashauri zinaweka mipango madhubuti ya kuendeleza uzalishaji wa nafaka na mazao mchanganyiko kwa kuzingatia kanuni za kilimo bora. Prof. Shemdoe ametoa wito huo leo Aprili 16...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu gani wa Ma-RC kuweka kambi Dodoma kufuatilia Hotuba ya Waziri Mkuu kwa zaidi ya Mwezi sasa?

    Nipo hapa Dodoma, Wakuu takribani wote wa Mikoa tupo nao mitaani tunakutana Bungeni tu, nilipowauliza wanafanya nini wametujulisha kuwa walikuja hapa zaidi ya wiki tatu zilizopita kwa ajili ya kusikiliza hotuba ya Bajeti ya Waziri Mkuu. Miaka ya nyuma ilikuwa kawaida wakati wa Hotuba ya Waziri...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Angela Kizigha, James Millya na Ng'waru Magembe wanapaswa kujiuzulu ubunge EALA Kuepusha kuendelea kuvunja mkataba wa Jumuiya

    JE TANZANIA IMEKIUKA AU INAKIUKA MKATABA WA UANZISHWAJI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI JUU YA WAHESHIMIWA JAMES KINYASI MILLYA, NG'WARU MAGHEMBE NA ANJELA CHARLES KIZIGHA KUENDELEA KUWA WABUNGE WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI WAKATI HUOHUO WAKIWA WABUNGE WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Nini kimebadili mwelekeo wa uongozi wa Rais Samia ulioanza kwa 4R?

    Katika miaka ya mwanzo ya uongozi wake, Rais Samia Suluhu Hassan alionekana kubadili upepo wa kisiasa kwa kuonesha utashi mpya uliogusa moja kwa moja masuala ya demokrasia, uhuru wa vyombo vya habari na mwelekeo wa kidiplomasia. Kauli na hatua zake za awali zilijenga taswira ya kufungua milango...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Hivi Jimbo la Kibaha Mjini halina Mbunge? CCM itafakari mchango wa Sylvestry Koka

    Mwanasiasa Sylvestry Francis Koka ambaye ana zaidi ya Miaka 15 Bungeni, hakuwepo Bungeni muda mrefu mara baada ya kushinda katika awamu yake ya tatu kwenye Uchaguzi uliopita. Pamoja na hivyo hakuonekana Bungeni, ilidaiwa anaumwa na alikuwa nje kwa matibabu, alionekana wiki mbili zilizopita...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Dereva wa Mbunge usipitie kwa Wabunge, baadhi wanawanyonya, hawawalipi inavyotakiwa

    Kuna tetesi kuwa baadhi ya Wabunge wetu huwa wana kawaida ya kuwanyonya madereva wao kwenye suala la mishahara kwa kuwa inapitia kwao Wabunge. Nashauri kama inawezekana mshahara wa dereva upite moja kwa moja kutoka Bungeni uingie kwenye account ya dereva. Ipo hivi mshahara na posho ya dereva...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Lukuvi amepewa jukumu la kuwa ‘monitor’ wa wabunge?

    Wabunge wote wa CCM wanaoandikisha majina kutaka kuzungumza wanafuatwa au kuitwa na Lukuvi na kuulizwa wanataka kuzungumza nini, ili kama kuna chochote ambacho hakiendani na wanachokitaka wenye mamlaka, Mbunge aelekezwe nini cha kufanya. Baadhi ya Wabunge wakongwe wameonekana kugomea wito huo...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Wenyeviti wa Kamati za Kudumu za Bunge hawakupigiwa kura

    Wenyeviti wengi wa Kamati hizo walitakiwa kupigiwe kura kama ilivyo kawaida lakini kilichofanyika majina yalikuja from no where watu wakasomewa majina ya Wenyeviti, ikawa imeisha hiyo. Wabunge walibaki na maswali yasiyo na majibu. Kisha huku nje ikaja kutangazwa kuwa wamepigiwa kura wameshinda...
Back
Top Bottom