Habari
Jamaa aliacha kazi pasipo kutoa taarifa kwa mwajiri baada ya kutopewa mshahara kwa miezi mitatu,ajira haina mkataba ni zile za kupatana pasipo maandishi
Alipofatilia akajulishwa anapaswa kukatwa mshahara wa mwezi mmoja kwa kutotoa notice kwa mwajiri.
Jamaa anadai alisitisha ajira pasipo...
Kuna jamaa pesa ilichanganyia, akawa ameingia mkataba na wachimbaji wadogo kwa kuwawezesha vifaa,ikatokea kutokuelewana ikabidi RC aende kusikiliza.Pale kwenye kikao jamaa akatamka "Siwezi kukubali huu ujinga hata kama nikiwekewa 🔪 shingoni" kikao kikavurugika wakaondoka, basi bwana kumbe wakawa...
Ukosoaji upo pale pale, kwasababu ninyi wenyewe mnashindwa kuja na majibu yanayoeleweka,mkwa mfano mtu kanusurika abduction anaeleza yaliyomsibu madelu anadai ni michezo ya kujiteka pasipo kutoa ushaidi au reference
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.