Suala la msingi ni kwamba wewe pigania yule unayedhani anafaa kwenda ikulu na mwingine/wengine wapiganie yule wanayedhani anafaa kwenda ikulu. Zingine zote ni porojo za kutafuta "attention."
Sasa kama wewe huwezi si ukae kimya Ili wenye kuwapigania wachukue jukumu lao. Kama hauli nyama kwanini utake kumlazimisha alaye naye asile? Bongo ina mambo mengi sana
Unajua kuna watu wanasema eti kutolewa ikulu kupelekwa wizarani huko kaula kwa sababu kapandishwa cheo. Ndo maana nikahitaji wataalamu wanisaidie maana kutoka kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano IKULU na kupelekwa wizarani eti huko ni kuula.
Sijui mimi ndo sielewi. Kutoka kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano IKULU ya RAIS kwenda kuwa NAIBU KATIBU MKUU kwenye OFISI YA WAZIRI MKUU, wapi pako juu ya chenzake? Je, ni IKULU au OFISI YA WAZIRI MKUU? Please wajuvi wa mambo nisaidieni nipate kuelewa
Hivi kabla ya hiki kinachoitwa muungano, Tanganyika ilikuwepo au haikuwepo? Zanzibar iliungana na nchi gani kutengeneza nchi iitwayo Tanzania?
By the way Tanganyika iliuawa kwa sera za mchonga. Kuna decree ambazo ziliamuliwa na aliyekuwa baba wa Tanganyika. Tusome maandiko na kusikiliza hotuba...
Hivi aliyetaarifiwa kwamba raisi amefariki ni mkuu wa majeshi au mkuu wa majeshi ndo alikuwepo wakati mheshimiwa raisi alipokuwa anakata roho??!!!!
Hebu angalia Aya ya nne ya thread yako na ufuatilie mazungumzo ya CDF vizuri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.