Kimsingi Muungano ulivunjwa tokea mwaka 2010, baada ya Serikali ya Zanzibar kuifanyia marekebisho Katiba yao ya Mwaka 1984, na wazanzibar kuridhia marekebisho hayo.
Marekebisho hayo yameitambua Zanzibar kama nchi, wakati Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatambua kuwa Tanzania ni nchi...

Wakuu wa Mikoa na Wilaya kwa sasa wanatekeleza shughuli ambazo zingeweza kutekelezwa na Mamea wa Manispaa, Majiji au Wenyeviti wa Halmashauri.
Hata hivyo kuna haja ya hao Mamea na Wenyeviti wa Halmashauri kuchaguliwa na wananchi badala ya sasa wanavyochaguliwa na Madiwani.
Katiba Mpya haiepuki
Hakuna jambo kama hilo. Ili hayo yafanyike lazima Katiba iwe na ibara ya Serikali ya mseto kama ilivyo Katiba ya Zanzibar iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2010.
Kwa sasa Katiba hii inaruhusu uwepo wa Serikali hiyo kama itatokea uwepo wa Chama chenye Wabunge wengi Bungeni, tofauti na Chama...
Mimi nimekuelewa vizuri sana. Mhe Mbowe amefanya mambo ambayo wanasiasa walio wengi hawawezi kuyatenda. Ameongoza mijadala ya Kidemokrasi ktk Utawala wa awamu ya nne, kwenye awamu ya tano aliongoza kusudio chanya la kuwa ma mjadala hata hivyo watawala waliweka mpira kwapani (hawakutaka dirisha...
Wanzanzibar pamoja na uchache wao wanajitambua kuliko sisi Watangsnyika. Kwa kiasi kikubwa wametuonyesha njia ya kuboresha Muungano wetu kupitia Mabadiliko ya kumi ya Katiba ya Zanzibar yaliyofanyika mwaka 2010. Kwa sasa Katiba hiyo inatambua kuwa Zanzibar ni Nchi, Rais wa Wanzibar ana madaraka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.