QUOTE="joto la jiwe, post: 36881075, member: 452226"]
Kwanza lazima ujue kwamba population ya Tanga ni kubwa kuliko ya Dodoma na Arusha, pili kituo cha michezo lazima kijengwe katika mikoa ambayo kuna wanamichezo wengi na vijana wenye mwamko na michezo. Mikoa yenye vijana wengi wanaoshiriki...
Mm nazungumzia vi
mm nazungumzia viwanja vya kuchezea AfCON... viwanja vya dar n ving lakin vitatumika kwa ajil ya Kundi moja tu.. inabid kuwe na viwanja vizuri katika mikoa mingine pia..
Arusha na Dodoma kuna watu wengi..hivyo hata mahitaj ya miundombinu n makubwa ukilinganisha na Tanga, Centre kama ile ikijengwa Ktk hiyo mikoa inaamanisha hata wakat ambao hakuna maandaliz ya timu za taifa centre hizo zinaweza tumika kwa ajili ya academies na kufundishia watoto.. hoyo itasaidia...
Wakat wao wanadanganyana na wananchi wao huu ndo wakati ambao sisi tunatakiwa kufanya kweli! Billion 100 tu zinatosha kujenga viwanja vya 25000 seats Mwanza na ArushaTunaungana na Rwanda, then tunaomba either 2023 au 2025
QUOTE="Naton Jr, post: 36830023, member: 391231"]
Kwani lazima kila kitu Kenya inachoplan na sisi tufanye? Au ndio mwisho wa hayo mashindano nini? Punguza ulimbukeni
Sio lazima sana.. lakin kwa ajil ya watu wetu kupata exposure na kazi inabid tufanye vitu kama hivyo!! Ila sabb katk serikali...
Kenya wanatizamia kuandaa AFCON 2023. Tanzania sisi tunazubaa tu, kama tukiwezakuwashawishi Rwanda tushirikiane nao hiyo ndo itakuwa karata yetu nzuri. Otherwise naona Kenya ashajiandaa na ataomba kuandaa hii michuano.
Nyie ndo wazalendo uchwara!! Hamna lolote la maana, uongo na uhafidhina tu. Tanzania tuna mengi mazuri ya kujifunza kutoka Kenya na wao wana meng y kujifunza toka kwetu
In terms of GDP you can even triple ours!! But in resiliency and impacting lives our GDP is the best. Our GDP can stretch thrice(Purchasing power parity) yours cant even strech twice!! Mind you we dont have to compete among ourselves as nations rather we should work for the majority citizen...
With that ideal in mind Keny should be the most resilient economy in East Africa!! Something which is not. Tanzanian are not good in corporate deals, and are not as aggressive as Kenyans are, but have a very resilient economy and an inclusive one!! In the Federation Kenyans will be the one to...
Kenya has a high valued currency, but not excess capital! How can a is food insecure country have excess capital? Kenyans economy is very vulnerable to shocks same to Uganda,Rwanda and Burundi! Thats not the case with Tanzania!! Kenya is in state of collpase due to mismanagement, unlike its...
Ghana economy is the most inclusive in Africa followed byTanzanian!! Tanzania tukiendelea na mamiradi ya mareli tutakuwa kama Kenya tu!! Tuwekeze katika mnyororo wa thamani wa mazao, tuajiri watu wetu, tuwalipe pesa nzuri.KWA Kufanya ivo tutaukwepa mtego wa utajiri usioonekana kwa watu
Nivlark,
Masaa 48000 ni siku 2000 na ni miaka almost sita io!! kutoka 2016 mpka leo ni miaka 4!! Umakini unahitajika sana katika kuandika na kusoma taarifa mbalimbali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.