Wakuu habari?
Nina mdogo wangu anasoma diploma in pharmaceutical sciences chuo kimoja Cha private hapa Mwanza,
Amemaliza First year mwezi huu anaenda Second year nilihitaji kujua process za kufanya Ili kupata nafasi ya kuhamia UDOM dogo Yuko vzr Kwa case ya matokeo ya mwaka
Au mwenye...
Kwani sababu kubwa iliowafanya Lamadi kuandamana ni upotevu wa watoto hawajatumwa na viongozi wowote
Ila ni upotevu wa watoto pasipo ya majibu ya wale wenye dhamana ya kulinda raia na Mali zao, sidhan km una mtoto na km utakuw nae huenda analelew na mwanaume mwingine hujui uchungu wa mtoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.