Recent content by bulicheka 4

  1. B

    JamiiForums Tanzania TLS: Kwa Mujibu wa Katiba, sasa Tanzania haina baraza la Mawaziri, Rais Samia atakiwa kuteua Waziri Mkuu ndani ya siku 14

    Pumbafu wewe rudia Tls walicho sema ni mwongozo wa ushauri tena wameambatanisha na katiba siyo lazima kama wewe pangu pakavu tia mchuzi una Vipi wewe ndugu unaona mkia wa Ngombe unauliza kinyeo kiko wapi? Tumia ufahamu kidogo mnauita lojiki
  2. B

    JamiiForums Tanzania TLS: Kwa Mujibu wa Katiba, sasa Tanzania haina baraza la Mawaziri, Rais Samia atakiwa kuteua Waziri Mkuu ndani ya siku 14

    Nini kazi ya TISS ni ku contro sio ku controliwa sasa ianze upya yenyewe yaani duu mpaka iliye mchuja anaijua na kuianika adharani hata kutoa siri za mchakato ni aibu kubwa Kisheria hata kolokoloni(bawaba)anambinu za kulinda nyumba ya tajiri mpaka uchawi anatumia lakini tajiri hapaswi kujua na...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Karibu Mama Samia Suluhu Hassan, Timu JPM Tunakuunga Mkono100%

    Mama akae mbali na huyu Mlozi Lukuvi asithubutu kuwa nae karibu
  4. B

    JamiiForums Tanzania Lema: Narudi Tanzania

    Wewe Fala roporopo aliyezika mbwa mpo nae huko Nasarifix
  5. B

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Miradi yote aliyoacha Rais Magufuli iko salama

    Mama Samia ili afanikiwe afuate ya Tshikedi Kongo na ubia wa Kabila Atumie mbinu ya kuondoa vinasaba viovu kwa kudeel na Supika Ndugei kama Kongo Hapo ataweza kuendesha nchi atambue kuna nileteeni Gwajimaaa!!? Ukweli atamsumbua sana Mh Raisi Jingine sasa mtaona usumbufu wa Mashehe kwa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru Ally Kakurwa nina hakika 100% anaweza kuvivaa viatu vya hayati Rais Magufuli

    Yote kwa yote TISS sasa isimame kama taasisi uzembe ulio toke mpaka wakazidiwa na mtu na kuanza kusikiliza MTU badala ya taasisi ya Uraisi isijirudie mpaka mtu ana waanika hadharani hoo huyu tulimuweka kule kuchunguza lisijirudie tena au huko kwenu Tiss hakuna somo la Ethic?
  7. B

    JamiiForums Tanzania Tumekuelewa Rais Samia Suluhu japo umeongea Kimafumbo na Kidiplomasia, ila tumekuelewa na tutayazingatia lakini nawe usiyarudie

    Zero brain ninyi ndio Samia hawataki pangu pakavu tia mchuzo
  8. B

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Mpendwa Mama Samia Suluhu Hassan, mambo yafuatayo ni muhimu

    Nileteeni Gwajimaaa!!!! Huyu atamsumbua sana mama kupitia bunge(genge la walio pitishwa na mtukufu) Mama Samia chunga genge hilo linaweza kukupindua Kule Kongo Tishekedi amewaweza wafuasi wa Kabila kwa kumshughulikia Spika aliyekuwa amewekwa na Kabila hata wewe Mama una mtaji wa Pm majaliwa...
  9. B

    JamiiForums Tanzania IKULU DAR: Mama Samia Suluhu Hassan kuapishwa kuwa Rais wa JMT tarehe 19 Machi, 2021

    Tiss ya kina Sabaya Jerry Muro kutembea na pingu bastola hadharani sasa tuione tutawapiga na mawe kama vibaka
  10. B

    JamiiForums Tanzania IKULU DAR: Mama Samia Suluhu Hassan kuapishwa kuwa Rais wa JMT tarehe 19 Machi, 2021

    Kuna wimbo unaimbwa "Nikosa la marehemu hakuvaa kondomu" Wale watoto walio imba wimbo ule bado nawatafakari Nimetembea nyumba za waelewa nimekuta Washuwa wamezuiwa na watoto wao wasitoke na wavae Barakoa na kweli wapo wanadunda pamoja na madhaifu ya kisukari,pressure,moyo
  11. B

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana kuteua Makamu kutoka Upinzani?

    Kwanini isiwezekane Kitila Mkumbo,Anna Mwigira waliwezaje kufika uko ccm na madaraka kupewa
  12. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Ni wakati wa kufungua ukurasa mpya kama Taifa

    Kweni uongo?
  13. B

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?

    Kwa maneno mengine tutarajie badiliko la baraza la mawaziri
Back
Top Bottom