Watu masikini wanaweza kukimbilia MIAMI kweli?Huyo jamaa tumuulize swali dogo,je,anataka kusema Saudi Arabia kila mtu ni tajiri ie anaishi maisha mazuri kwa kuwa Taifa hilo lina utajiri mkubwa ma mafuta? jibu ni hapana, why pick on Maduro and Venezuela if I may ask??
Ni kweli mkuu,Waisrael wengi hawaungi mkono utawala wa Natenyahu pamoja na wapambe wake, ndio maana anatafuta kilambinu kukwepa kufikishwa mahakamani yeye ni mkewe kujibu tuhuma za kupokea rushwa, binafsi nina imani kwamba siku moja Bunge litapiga kura ya kukosa imani na uongozi wake hiyo...
Tatizo kubwa hapa linatokana na Trump kuunga mkono ufedhuli wa Natenyahu wa kutaka kupora eneo zima la Gaza na kiwapatia eneo hilo walowezi wa Kiyahudi, hata Trump anataka kuwekeza Gaza kwa kujenga mahoteli ya kitalii na kuweka viwanja vya Golf, ndiyo maana Natenyahu ana kiburi na jeuri sana...
Mkuu binafsi huwa nashangaa sana ni kwa nini makao makuu ya UN hayakujengwa huko Geneva Uswiss baada ya vita ya WW2, Dunia ikitaka kukwepa fugisu la kuwakatalia baadhi ya maafisa au viongozi wa aataifa fulani kuingia Merikanj kwenye mikutano nyeti kama mikutano ya UN, basi International...
Well said mkuu, hata hili la Modi kuhibukia kwenye sherehe nchini China huku kama siku tatu nne hivi Modi alikataa kupokea simu za Trump na hiyo vile vile lilimshitua sana Trump maana hakuna kiongozi yeyote hapa Duniani aliye wahi kusisia simu za Trump ambaye ujuchukulia ni kama ni kiongozi wa...
Mikwara kwara yake ya kutaka kutishia maadui wake, hana hata habari kwamba na wao walisha jipanga siku nyingi ku-deal na ufedhuli wa Uongozi wa Taifa la Merikani ambalo ujiona ni bora zaidi kuliko mataifa mengine hapa Duniani!!
Hao wakiungana Merikani haitaweza kutoboa, vita vipiganwa nchini mwake for the first time, hakuna cha kutumia Pacific au Atlantic Oceans kama kinga au kujiona wao wako mbali kutoka kwenye war theater ya huko Ulaya maana kuna kila dalili kwamba vita hii ya WW3 itaanzia huko huko Ulaya Viongozi...
Hapana mkuu, wakati wa ujenzi wa reli ya TAZARA, Wachina waliwatumia sana wabongo kuchoronga vijishimo vya kuweka baruti za kulipua miamba kwenye mahandaki/tunnels , sasa kabla hawajazilipuwa walikuwa wanahakikisha waliweka idadi ngapi za sticks za baruti, na zilipokuwa zinawashwa baruti...
Hata mimi idadi hiyo Kidogo inanishangaza,je,walikuwa wana angukiwa na zege au milipuko kulipuka ghafla au kuangukiwa na nuilding cranes, takwimu hiyo haingii akilini hata kidogo.
Ni kweli mkuu na the Brains behind ya Operation unthikable alikuwa ni Waziri Mkuu wa Uingereza Wiston Churchill, yeye ndiye alimshurutisha Rais wa Merikani wa wakati huo Harry Truman, kwamba waishambulie Urusi kwa kutumia mabom ya Atomic, washauri wao wa kijeshi walipendekeza kwamba mabom 350...
Mimi nataka Wachina watuonyeshe muundo wa fighter jets silizo fanikiwa kuzilipuwa ndege za vita za Ufaransa kwa kitumia missiles zao hatari za fire and forget!! ie sio lazima Pilot azione ndege za adui zilipo jichimbia, vile vile nataka nione S-400 ambazo waziri mkuu wa India alikuwa anazisifia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.