Recent content by buko

  1. buko

    Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

    Msaada tafadhali
  2. buko

    Msaada wa DC water pump

    Inapatikana wapi naweza pata connection Sent using Jamii Forums mobile app
  3. buko

    Msaada wa DC water pump

    Ni wapi naweza pata water pump inayotumia umeme wa solar (dc).kisima changu kina urefu mita 160 Zinapatikana wapi jamani Sent using Jamii Forums mobile app
  4. buko

    Msaada: Tecno L8 inakataa app za whatsap na facebook

    Naombeni mnisaidie hii simu yangu techno L8 baadhi ya mitandao ya kijamii inagoma kama vile whatsap,facebook msaada pls
  5. buko

    Naitaji box ya kuflash simu

    sijui ndoo maana nahitaji msaada wapi pa kupata
  6. buko

    Naitaji box ya kuflash simu

    kwa mwenye kujua ni wapi naweza nikapata kits/box naona wanaita ivo kwa ajiri ya kuflash simu msaada tafadhali
  7. buko

    Plotter inaitajika

    nashukuru sana mkuu
  8. buko

    Plotter inaitajika

    Nahitaji plotter kwa ajili ya printing kwenye mabango, Tshit nk mwenye kua na ufahamu juu ya hiyo kitu naomba anisaidie inapatikanaje na kwa bei gani
  9. buko

    kuhusu USSD security

    Katika hili ayeibiwa si mteja ni wakala
  10. buko

    kuhusu USSD security

    MTU anatoa labda 20000 na sms inaingia kabisa kwa wakala unampatia ela mteja ukija kuangalia salio km wakala unakuta hakuna salio lililoingia!!Mi imenitokea kwa Tgo pesa
  11. buko

    Nahitaji Laptop ya kununua

    2.3ghz ni dual-core?
  12. buko

    Nahitaji Laptop ya kununua

    Iyo naona imenishnda Nina mwisho 450000
  13. buko

    Nahitaji Laptop ya kununua

    Ninaongeza hamsini
  14. buko

    Nahitaji Laptop ya kununua

    Hard disc 320gb + Ram 2gb Dual core 1.8 + Battery at least 3hrs hata km si ya dukani kwa laki nne
  15. buko

    Nahitaji Laptop ya kununua

    Naitaji laptop nina laki NNE Tsh.400000 mwenye kua nayo ani pm
Back
Top Bottom