Recent content by Bujiku Karanga

  1. B

    JamiiForums Tanzania Shule za private na matokeo bandia ni ugonjwa unao na utaoangamiza taifa letu siku za karibuni

    Kumekuwa na wimbi la MATOKEO mazuri sana kwa shule za PRIVATE, lakini ukweli ulio wazi, wanafunzi hao wengi wao matokeo wanayopata sio yao kwa sababu zifuatazo; Wanafunzi wanapangwa katika hali ya kuwafanya wasipate shida kuwaangalizia au kusaidiwa na wenye uwezo, na lazima wasaidiwe au...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Rushwa imetawala Hospitali ya Mbuyula-Mbinga

    Hospitali ya HALMASHAURI YA MJI MBINGA Rushwa imetamalaki yaani kuenda pale kutibiwa wahudumu wanaona kama umewapelekea hela ya vikoba au ya mafuta ya magari au pikipiki zao Mgonjwa kununulishwa dawa wodi ni kitu cha kawaida sana, ukitoka mapokezi ukaenda Kwa daktari kama Kuna sindano au dawa...
Back
Top Bottom