Recent content by Buj

  1. B

    Msaada: Nifanyeje niache uzinzi?

    Nina uhusiano wa kimapenzi na wasichana Wawili na kunamwingine bado namfuatilia lakini natamani niache ujinga huo ukizingatia nina mke na watoto, ila nimeshindwa. Huwa naamua kuwa kuanzia sasa basi sitaki tena, baadae nikikutana na mmoja wao naanza yale yale au wakati mwingine akinipigia simu...
  2. B

    Msaada wa aina ya simu kwa kazi maalumu

    Kuna rafiki yangu anamchumba wake hamuamini, alikuwa anahitaji kufuatilia mawasiliano yake. Nasikia kuna sim ambayo akimununulia anaweza kufuatilia mawasiliano yake pasipo muhusika kujua. Ni aina gani ya sm, ni program ipi inatumika, na program hiyo ni ya kudownload au iko ndani ya cm husika...
  3. B

    Nimuoe yupi kati ya hawa wasichana watatu maana wanatofautiana

    papuchi mambo ya msimu, ndio kusema baada ya muda itakuwa kama Bwawa?. Nini kinabadirisha papuchi?
  4. B

    Nimetongoza miaka mitatu sijaona ndani

    Habari zenu? Kuna dada nilimtongoza muda mrefu karibia miaka mitatu sasa lakini mpaka sasa sijaona kitu. Tokea mwanzo alikubaliana na ombi langu, ila utekelezaji wake umekuwa mgumu. Kuna kipindi nilipanga kuachana nae lakini baadae nikamtafuta mwenyewe. Sihitaji kuoa na yeye analijua hilo...
Back
Top Bottom